Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Correct scores
Yanga 5
Kagera 3
Tuishi humooo🤣🤣🤣
Game tu imewakataa leoBeki wa kulia na Kushoto wote utopolo ila hawasemwi.
Achilia hivyo tu hata ile goal difference bado tutakuwa mbali sana na nyie.Bila kujali matokeo ya mwisho yatakuwaje, kuruhusu bao 3 ni ishara mbaya utakapokutana na Simba 😅😅😅
Hahahaa. Hueleweki mbona. 😂😂😂😂Hayo Mazezeta nilijua hayana pumzi ya kuhimili dk 45 za mwisho za jasho na mateso kutoka kwa Yanga.
Bila kujali matokeo ya mwisho yatakuwaje, kuruhusu bao 3 ni ishara mbaya utakapokutana na Simba [emoji28][emoji28][emoji28]
Sisi wenyewe tulimuachaga kwa kumuona hana ubora.Ni heri tungemsajili huyu mtoto wa nyumbani Muhilu (mpambanaji) kuliko yule tycoon wa Mwanza
Aiseee!! Sijui amefanya nini pale.Nchimbi[emoji28]
Hivi kazi yake huwa ni nini uwanjani?Aiseee!! Sijui amefanya nini pale.