Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hii mechi imeisha tujadili mechi ijayo.
Cost Union na Simba ni ndugu wa damu ama ni washkaji tu?
 
Metacha mnata ni tatizo lililojificha kwenye ubora wa Nondo na Mukoko
Metacha na Shikalo yote ni mashati tu langoni......! Unawezaje kuleta professional goalkeeper halafu umpige benchi la nguvu namna hii....!! Sasa huyu si kaziba nafasi ya professionals .....! Jamani Utopolo akili zao wanazijua wenyewe...!
 
Kuna akili Mbwiga!
 
Achilia hivyo tu hata ile goal difference bado tutakuwa mbali sana na nyie.

Kwani kama leo mpaka sasa ni sawa na hakuna kitu tumefanya.
Round ya pili imekua Round ya pili , mnafeli wapi
 
TUNADANGANYIKA NA MAGAZETI

utasikia huyo sarpong .. Wawa ajiandae tu kuteguka wakat hatujawah kimuona hata siku moja

Nugaz mmhamasishaji...Vimba mwana yanga mwenzangu una mashaka na brand chapa GSM hapo vichwa vimewajaa

Mwanasport,.... Kazelona imeanza kazi haya tumeona huyo ndio kaze kajaza wahutu wenzake wengne kaz yao kukimbia tu na kuweka blichi kichwan

Eti unamtoa mwambusi unamleta mtoto ambaye bado hajakomaa kisoka kuna shida mahali yanga

Kila mwisho wa msimu kaz kuacha wachezaj Zaid ya Kumi unategemea kikos kitazoeana lini uwanjani

Ameachwa molonga anayekupa goli 10+ kwa msimu unasajili striker anayeshindana na mabeki wake kiufungaji kuna tatizo kwenye vetting

Mikataba ya muda mfup n janga Morrison tuliaminishwa kasain miaka 3 kumbe uwongo mwakalebela anaedelea kutupiga fiksi tu had leo

Nadhan Sasa ule ujinga wa kujazana pale airport kupokea magarasa utakoma hali halis tumeiona Sasa

Wenzetu simba wameifunga vita mji upo kimya sababu wanajua ligi bado tungekuwa sisi tungejazana airport na korona hii bila kujal chochote kwa ushind tu bila kombe

Najiuliza hata tukifuzu kimataifa tuna mkakat gani wa kuhakikisha tunafka mbali maana kwa magarasa tuliyonayo sion tukifka mbali popote Zaid ya aibu tu

Ni muda Sasa wa wanayanga kifikiri mbali zaidi na s KUFIKIRI kizaman mpira n sayansi mpira n pesa

Wenzetu wanatucheka sababu wanajua uwezo wetu bado n mdogo sna mwaka Jana tuliongoza ligi mda mrefu yakatokea Kama haya hakuna plan tunarudia makosa Yale yale toka zahera had leo kaze

Timu haijukikan inachezaje uchaguz wa kikosi hovyo

HUO N MTAZAMO WANGU WAPO WATAKAK BEZA WAPO WATAKAO KUBALIANA NAMI

#TUENDELEE KUVIMBA AU TUACHE
 
Afu kwanini Ditram Nchimbi na "NYAVU' wasikae chini wakamaliza tofauti zao?
Mkuu nilitoa takwimu humu huyo jamaa toka afunge February 2020 had leo February 2021 hajawah funga goli et ndyo game changer tulionao tukizidiwa

#TUENDELEE KUVIMBA AU TUACHE
 
Nyie watani wetu sio watu wa mpira kabisa, Yaani nyie mpo tu kwa sababu simba ipo, Inakuaje mnaanza kutafutana kisa sare ili hali bado mnaongoza ligi.
Kwenye mpira kuna matokeo ya aina hiyo.
Endeleeni kuvimba bhana mnaogoza ligi bado hamjafungwa.
 
TUNADANGANYIKA NA MAGAZETI

utasikia huyo sarpong .. Wawa ajiandae tu kuteguka wakat hatujawah kimuona hata siku moja

Nugaz mmhamasishaji...Vimba mwana yanga mwenzangu una mashaka na brand chapa GSM hapo vichwa vimewajaa

Mwanasport,.... Kazelona imeanza kazi haya tumeona huyo ndio kaze kajaza wahutu wenzake wengne kaz yao kukimbia tu na kuweka blichi kichwan

Eti unamtoa mwambusi unamleta mtoto ambaye bado hajakomaa kisoka kuna shida mahali yanga

Kila mwisho wa msimu kaz kuacha wachezaj Zaid ya Kumi unategemea kikos kitazoeana lini uwanjani

Ameachwa molonga anayekupa goli 10+ kwa msimu unasajili striker anayeshindana na mabeki wake kiufungaji kuna tatizo kwenye vetting

Mikataba ya muda mfup n janga Morrison tuliaminishwa kasain miaka 3 kumbe uwongo mwakalebela anaedelea kutupiga fiksi tu had leo

Nadhan Sasa ule ujinga wa kujazana pale airport kupokea magarasa utakoma hali halis tumeiona Sasa

Wenzetu simba wameifunga vita mji upo kimya sababu wanajua ligi bado tungekuwa sisi tungejazana airport na korona hii bila kujal chochote kwa ushind tu bila kombe

Najiuliza hata tukifuzu kimataifa tuna mkakat gani wa kuhakikisha tunafka mbali maana kwa magarasa tuliyonayo sion tukifka mbali popote Zaid ya aibu tu

Ni muda Sasa wa wanayanga kifikiri mbali zaidi na s KUFIKIRI kizaman mpira n sayansi mpira n pesa

Wenzetu wanatucheka sababu wanajua uwezo wetu bado n mdogo sna mwaka Jana tuliongoza ligi mda mrefu yakatokea Kama haya hakuna plan tunarudia makosa Yale yale toka zahera had leo kaze

Timu haijukikan inachezaje uchaguz wa kikosi hovyo

HUO N MTAZAMO WANGU WAPO WATAKAK BEZA WAPO WATAKAO KUBALIANA NAMI

#TUENDELEE KUVIMBA AU TUACHE

Kwenye hii Mitaa kumbe Watu wenye Akili kubwa kama wewe wanapatikana.
 
Mambo Matatu ya Yanga kwenye huu Msimu ambayo si ya kupuuza:

1) Yanga inaongoza Ligi
2) Yanga haijafungwa
3) Fiston hakabiki
 
TUNADANGANYIKA NA MAGAZETI

utasikia huyo sarpong .. Wawa ajiandae tu kuteguka wakat hatujawah kimuona hata siku moja

Nugaz mmhamasishaji...Vimba mwana yanga mwenzangu una mashaka na brand chapa GSM hapo vichwa vimewajaa

Mwanasport,.... Kazelona imeanza kazi haya tumeona huyo ndio kaze kajaza wahutu wenzake wengne kaz yao kukimbia tu na kuweka blichi kichwan

Eti unamtoa mwambusi unamleta mtoto ambaye bado hajakomaa kisoka kuna shida mahali yanga

Kila mwisho wa msimu kaz kuacha wachezaj Zaid ya Kumi unategemea kikos kitazoeana lini uwanjani

Ameachwa molonga anayekupa goli 10+ kwa msimu unasajili striker anayeshindana na mabeki wake kiufungaji kuna tatizo kwenye vetting

Mikataba ya muda mfup n janga Morrison tuliaminishwa kasain miaka 3 kumbe uwongo mwakalebela anaedelea kutupiga fiksi tu had leo

Nadhan Sasa ule ujinga wa kujazana pale airport kupokea magarasa utakoma hali halis tumeiona Sasa

Wenzetu simba wameifunga vita mji upo kimya sababu wanajua ligi bado tungekuwa sisi tungejazana airport na korona hii bila kujal chochote kwa ushind tu bila kombe

Najiuliza hata tukifuzu kimataifa tuna mkakat gani wa kuhakikisha tunafka mbali maana kwa magarasa tuliyonayo sion tukifka mbali popote Zaid ya aibu tu

Ni muda Sasa wa wanayanga kifikiri mbali zaidi na s KUFIKIRI kizaman mpira n sayansi mpira n pesa

Wenzetu wanatucheka sababu wanajua uwezo wetu bado n mdogo sna mwaka Jana tuliongoza ligi mda mrefu yakatokea Kama haya hakuna plan tunarudia makosa Yale yale toka zahera had leo kaze

Timu haijukikan inachezaje uchaguz wa kikosi hovyo

HUO N MTAZAMO WANGU WAPO WATAKAK BEZA WAPO WATAKAO KUBALIANA NAMI

#TUENDELEE KUVIMBA AU TUACHE
Uzuri wa sisi washabiki wa Yanga huwa hatukawii kumpa vitasa mtu.Huyu kocha ajiangalie.
 
Back
Top Bottom