Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,897
- 7,074
Metacha mnata ni tatizo lililojificha kwenye ubora wa Nondo na MukokoHalafu muda shikalo kupewa nafasi umefika sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Metacha mnata ni tatizo lililojificha kwenye ubora wa Nondo na MukokoHalafu muda shikalo kupewa nafasi umefika sasa
Metacha na Shikalo yote ni mashati tu langoni......! Unawezaje kuleta professional goalkeeper halafu umpige benchi la nguvu namna hii....!! Sasa huyu si kaziba nafasi ya professionals .....! Jamani Utopolo akili zao wanazijua wenyewe...!Metacha mnata ni tatizo lililojificha kwenye ubora wa Nondo na Mukoko
HahahahahahahahaAiseee!! Zimeongezwa dkk 3 tu game kuisha.
Rudishen MwambusiHili jasho analotoka Kocha veepe.
Timu kaiharibu kwa kuanzisha wachezaji wasioeleweka sasa anatoka jasho la kazi gani. Mmmxxxiiieww.
KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI DHIDI YA KAGERA SUGAR HAPO 19:00HRS.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Yanga, my team, my happiness, plz do something tonight 💚💚💚💚💚
Kuna akili Mbwiga!Metacha na Shikalo yote ni mashati tu langoni......! Unawezaje kuleta professional goalkeeper halafu umpige benchi la nguvu namna hii....!! Sasa huyu si kaziba nafasi ya professionals .....! Jamani Utopolo akili zao wanazijua wenyewe...!
Round ya pili imekua Round ya pili , mnafeli wapiAchilia hivyo tu hata ile goal difference bado tutakuwa mbali sana na nyie.
Kwani kama leo mpaka sasa ni sawa na hakuna kitu tumefanya.
Mkuu nilitoa takwimu humu huyo jamaa toka afunge February 2020 had leo February 2021 hajawah funga goli et ndyo game changer tulionao tukizidiwaAfu kwanini Ditram Nchimbi na "NYAVU' wasikae chini wakamaliza tofauti zao?
TUNADANGANYIKA NA MAGAZETI
utasikia huyo sarpong .. Wawa ajiandae tu kuteguka wakat hatujawah kimuona hata siku moja
Nugaz mmhamasishaji...Vimba mwana yanga mwenzangu una mashaka na brand chapa GSM hapo vichwa vimewajaa
Mwanasport,.... Kazelona imeanza kazi haya tumeona huyo ndio kaze kajaza wahutu wenzake wengne kaz yao kukimbia tu na kuweka blichi kichwan
Eti unamtoa mwambusi unamleta mtoto ambaye bado hajakomaa kisoka kuna shida mahali yanga
Kila mwisho wa msimu kaz kuacha wachezaj Zaid ya Kumi unategemea kikos kitazoeana lini uwanjani
Ameachwa molonga anayekupa goli 10+ kwa msimu unasajili striker anayeshindana na mabeki wake kiufungaji kuna tatizo kwenye vetting
Mikataba ya muda mfup n janga Morrison tuliaminishwa kasain miaka 3 kumbe uwongo mwakalebela anaedelea kutupiga fiksi tu had leo
Nadhan Sasa ule ujinga wa kujazana pale airport kupokea magarasa utakoma hali halis tumeiona Sasa
Wenzetu simba wameifunga vita mji upo kimya sababu wanajua ligi bado tungekuwa sisi tungejazana airport na korona hii bila kujal chochote kwa ushind tu bila kombe
Najiuliza hata tukifuzu kimataifa tuna mkakat gani wa kuhakikisha tunafka mbali maana kwa magarasa tuliyonayo sion tukifka mbali popote Zaid ya aibu tu
Ni muda Sasa wa wanayanga kifikiri mbali zaidi na s KUFIKIRI kizaman mpira n sayansi mpira n pesa
Wenzetu wanatucheka sababu wanajua uwezo wetu bado n mdogo sna mwaka Jana tuliongoza ligi mda mrefu yakatokea Kama haya hakuna plan tunarudia makosa Yale yale toka zahera had leo kaze
Timu haijukikan inachezaje uchaguz wa kikosi hovyo
HUO N MTAZAMO WANGU WAPO WATAKAK BEZA WAPO WATAKAO KUBALIANA NAMI
#TUENDELEE KUVIMBA AU TUACHE
MBUMBUMBU wanafuata nini huku?Kuna Uto tokea jana siwaoni wakikatisha kwenye hii Mitaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Afu kwanini Ditram Nchimbi na "NYAVU' wasikae chini wakamaliza tofauti zao?
Uzuri wa sisi washabiki wa Yanga huwa hatukawii kumpa vitasa mtu.Huyu kocha ajiangalie.TUNADANGANYIKA NA MAGAZETI