Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini uteseke wakati una option ya kuhama. Huo sio ukoo.Duuh!! Mie kinachonisikitisha ni vile hatupati timu inayokaa kwa pamoja muda mrefu yaani akija huyu basi ujue yule anaondoka. 🤔🤔🤔
Kumbe lamine naye yupo njiani?
Hahaha kwamba huyo kalinyo kaja bongo week hii au? Ukishasikia hivyo ujue kuna walakini.Kuna shida sana kwenye uongozi wa Yanga issue ya Calinho wanasema chakula ina maana Angola wanakula nini ambacho hakipo Tz?
Nikweli kabisa, viongozi wanasema amegombana na kocha Mtwara kuelekea mechi ya Namungo, akarudishwa dsm yeye anapinga tuhuma hizoHeee!! Hatari.
Ila kama anaondoka aondoke tu hamna jinsi.
Wacha iniue tu Mtani. 🤣🤣🤣Kwanini uteseke wakati una option ya kuhama. Huo sio ukoo.
Aaah!! Haya Mkuu wacha tusubirie yajayo tuyaone.Nikweli kabisa, viongozi wanasema amegombana na kocha Mtwara kuelekea mechi ya Namungo, akarudishwa dsm yeye anapinga tuhuma hizo
Duuh!!Kuna shida sana kwenye uongozi wa Yanga issue ya Calinho wanasema chakula ina maana Angola wanakula nini ambacho hakipo Tz?
Hakika uliipenda mwenyewe.Wacha iniue tu Mtani. 🤣🤣🤣
Yaani usenge mtupu sa hivi sina hata nguvu za kubishana na mtu hii team inakera sanaHahaha kwamba huyo kalinyo kaja bongo week hii au? Ukishasikia hivyo ujue kuna walakini.
Ila kuna kitu kinafanyika, hawadanganyiView attachment 1803952
Hakuna hearings ya Yanga na Morison hapo viongozi wa yanga waache janja janja
Achana na huyo Manara anayejiita Albino Mweusi.Ila kuna kitu kinafanyika, hawadanganyi View attachment 1804029
Ila kuna kitu kinafanyika, hawadanganyi View attachment 1804029
Tumia akili tarehe 2 ndo kesi inapangiwa healing, mbona kitu rahisi sana hizo ulizo leta ni kesi zinazofanyiwa healing tarehe 2Sawa lakini hakuna sehemu hyo baria imesema kuna kesi ya kusikizwa tar2
Achana na Mbumbumbu mkuu Hana ajualoTumia akili tarehe 2 ndo kesi inapangiwa healing, mbona kitu rahisi sana hizo ulizo leta ni kesi zinazofanyiwa healing tarehe 2