Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwani nyie mtamfunga nani?
4-1

Incase hukumbuk, pira la maana na goli za maana

Hv ukiwa hai umewah ona Yanga ikishinda 3-0 au hata 3-1 dhidi ya simba kweli ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maria tafadhali tuache na mwali wetu
Screenshot_20210626-113156.jpg
 
Ile ambayo Morrison alisema mlimuhonga dola elfu 5? Bila ya ujanja janja Wa nje ya uwanja ninyi hamna kitu!
Hujajibu swali langu

Wewe umewah kuona Yanga akipata huo ushind dhidi ya simba , yani 3-0 au 3-1

Ni lini umeona ??

Mimi nimeona zote kuanzia 1-0 hadi 5-0 simba ikiiboa Yanga
 
[emoji3][emoji3][emoji3] huu ndo ukweli halisi bila janja janja Timu ya Wananchi haiezi fungwa na mikia.
Kwasababu hatujawah wafunga zaid ya 4 sio ??

Alafu kwani Morson alijifunga ? Unaongelea Morson kuhongwa wakat yupo uwanjan, watu wanapigwa umeme kabisa wako pungufu na hawafungwi .. nyinyi uwezo mdogo

Kupata kwenu Suluhu vs Simba ni sawa na KMC anavyojitutumua na kubahatisha suluhu vs Simba
 
Back
Top Bottom