Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
4-1Kwani nyie mtamfunga nani?
Ile ambayo Morrison alisema mlimuhonga dola elfu 5? Bila ya ujanja janja Wa nje ya uwanja ninyi hamna kitu!4-1
Incase hukumbuk, pira la maana na goli za maana
Hv ukiwa hai umewah ona Yanga ikishinda 3-0 au hata 3-1 dhidi ya simba kweli ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlijificha huku
Mkuu kuna mchezaji zaidi ya Feisal kwa bongo tunaweza kumzungumza kwa sasa?Mlimbeba Hersi kwenye kiti kuanzia airport hadi katikati ya jiji. Yaani haijatosha tu, mnataka kumjengea Feisal sanamu?
Hivi kakujibu hapa?Kwani nyie mtamfunga nani?
😀😀😀 huu ndo ukweli halisi bila janja janja Timu ya Wananchi haiezi fungwa na mikia.Ile ambayo Morrison alisema mlimuhonga dola elfu 5? Bila ya ujanja janja Wa nje ya uwanja ninyi hamna kitu!
Ndio Mtani. Hapa ndio sehemu yetu Timu ya Wananchi.Mlijificha huku
Azam wamenikera janaNaona umejifukulia kaburi mdogo wangu. [emoji1787]
Kwa wale wanaobeti sijui hapo ndo umeufanyaje mkeka? [emoji1787]
azam walikuwa wanapoteza mda tu wapuuz lile si tawi la simba unazan wange kuwa wanacheza na sjsi wange fanya uzembe ule sema safi my wetu kaja mwenyew ghetoAzam wamenikera jana
Sawa mtani na huu mwaka niwetuNdio Mtani. Hapa ndio sehemu yetu Timu ya Wananchi.
Hujajibu swali languIle ambayo Morrison alisema mlimuhonga dola elfu 5? Bila ya ujanja janja Wa nje ya uwanja ninyi hamna kitu!
Kwasababu hatujawah wafunga zaid ya 4 sio ??[emoji3][emoji3][emoji3] huu ndo ukweli halisi bila janja janja Timu ya Wananchi haiezi fungwa na mikia.