SOSDANNY
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 453
- 444
Nyau wameingia mitini, halafu huku YANGA ikiongezea point tatu muhimu sana kutoka kwa Prisoner. Ndiyo maana naona jukwaa lipo kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.Sisi siyo nyau!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyau wameingia mitini, halafu huku YANGA ikiongezea point tatu muhimu sana kutoka kwa Prisoner. Ndiyo maana naona jukwaa lipo kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.Sisi siyo nyau!
Imetosha zamu ya Timu ya Wananchi sasa.Hata ligi ikiisha bingwa si unamjua lakini Shadeeya?😂😂😂
Nipo shemela. 🤝Shemela Shadeeya upo.
Mbona kabwili hayupo hapo?Wananchi tumerejea jijini baada ya kumzamisha prisons.
View attachment 2051601
Mabegi yana rangi kama kinyonga[emoji28]Hizi begi nimezielewa mno. [emoji3]
View attachment 2051602
Kinyonga ana rangi gani vileee [emoji848]Mabegi yana rangi kama kinyonga[emoji28]
Mabegi yana rangi kama kinyonga[emoji28]
Kinyonga ana rangi gani vileee [emoji848]
😂😂😂akikujibu mwambie anywe pepsi big Bangala atalipa[emoji16]
Nyeusi,njano na kijani[emoji16]Kinyonga ana rangi gani vileee [emoji848]
Ndo nanyie muige sa. 😎Nyeusi,njano na kijani[emoji16]
We cha umbea[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ivi hatutaki kuwanusa[emoji16] tunataka kushika usukaniKama kawaida kesho tuna jambo letu Timu ya Wananchi.
View attachment 2056766