Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Vile tunafanya mazoezi kuelekea mechi ya kesho dhidi ya Azam.
20220405_032048.jpg
 
Hapa ni kama tumepigwa na kitu kizito Msimu huu sababu mpaka sasa sidhani kama ana goli hata moja Ligi kuu au ndo hajapewa nafasi ndo mana?
20220405_032008.jpg
 
Oi oi Leo ndo ile siku tunayocheza na dada mtu... Kwahiyo wananchi wenzangu tujiandae kumkwida mtu nyumbani kwake chamazi halafu maumivu yanaenda direct huko mitaa ya msimbazi
[emoji1787][emoji172][emoji169]
 
Hapa ni kama tumepigwa na kitu kizito Msimu huu sababu mpaka sasa sidhani kama ana goli hata moja Ligi kuu au ndo hajapewa nafasi ndo mana?
View attachment 2176062
Jamaa ni mzuri tatizo ni huyu ndugu yake wa kuitwa mayele... Pale unapotamani asifunge ili upate walau nafasi lakini ndo kwanza mwamba anazidi kutetema WFF... Na kila mtu anajua ile staili ya kupiga mkono na kichwa inawabamba kuliko ya kuwajaza
[emoji1787]
 
Oi oi Leo ndo ile siku tunayocheza na dada mtu... Kwahiyo wananchi wenzangu tujiandae kumkwida mtu nyumbani kwake chamazi halafu maumivu yanaenda direct huko mitaa ya msimbazi
[emoji1787][emoji172][emoji169]
🤣🤣🤣 Kwa kweeli Mkuu.
 
Amekuja kipindi5 sio aisee.

Hahahaaa. Yaani hamna asiyejua hiyo style na sio Wananchi pekee hadi ambao sio Wananchi wameipokea kwa mikono miwili. 😀

Back
Top Bottom