Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni mzuri tatizo ni huyu ndugu yake wa kuitwa mayele... Pale unapotamani asifunge ili upate walau nafasi lakini ndo kwanza mwamba anazidi kutetema WFF... Na kila mtu anajua ile staili ya kupiga mkono na kichwa inawabamba kuliko ya kuwajazaHapa ni kama tumepigwa na kitu kizito Msimu huu sababu mpaka sasa sidhani kama ana goli hata moja Ligi kuu au ndo hajapewa nafasi ndo mana?
View attachment 2176062
🤣🤣🤣 Kwa kweeli Mkuu.Oi oi Leo ndo ile siku tunayocheza na dada mtu... Kwahiyo wananchi wenzangu tujiandae kumkwida mtu nyumbani kwake chamazi halafu maumivu yanaenda direct huko mitaa ya msimbazi
[emoji1787][emoji172][emoji169]
Jamaa ni mzuri tatizo ni huyu ndugu yake wa kuitwa mayele... Pale unapotamani asifunge ili upate walau nafasi lakini ndo kwanza mwamba anazidi kutetema WFF... Na kila mtu anajua ile staili ya kupiga mkono na kichwa inawabamba kuliko ya kuwajaza
[emoji1787]
sisi twawatakia kheri!Kama kawaida Mkuu points zetu tatu zipo Chamazi leo.