babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiwa hatujapoteza hata game moja, na ikumbukwe kwamba hii ndiyo ligi ya kwanza kuwahi kutokea Tz ambayo ina ushindani mkubwa kabla ya hapo hakukuwa na ligi yenye ushindani kama hii.Hivi ndo Mabingwa tunaendelea kuimalizia game za Ligi Kuu ya NBC.
View attachment 2269479
Haswaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo unahisi nyie ndio wa kwanza kwanza kufanya ivyo?
PR zinapaswa kuwa timu kuanzia 44 mzee kama hujua tulia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtachagua wenyewe nani awapige nje ndani.
DJ waleteeeeeeeeeeh. View attachment 2270996
Kama Vipi CAF Watupangie Wale Wale Rivers United, Tunawataka Tena.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtachagua wenyewe nani awapige nje ndani.
DJ waleteeeeeeeeeeh. View attachment 2270996
Mechi yenu ya leo sangapKama Vipi CAF Watupangie Wale Wale Rivers United, Tunawataka Tena.
Ndio ndio Mkuu.Tukiwa hatujapoteza hata game moja, na ikumbukwe kwamba hii ndiyo ligi ya kwanza kuwahi kutokea Tz ambayo ina ushindani mkubwa kabla ya hapo hakukuwa na ligi yenye ushindani kama hii.