Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtachagua wenyewe nani awapige nje ndani.

DJ waleteeeeeeeeeeh.
Screenshot_20220623-095203.jpg
 
Tukiwa hatujapoteza hata game moja, na ikumbukwe kwamba hii ndiyo ligi ya kwanza kuwahi kutokea Tz ambayo ina ushindani mkubwa kabla ya hapo hakukuwa na ligi yenye ushindani kama hii.
Ndio ndio Mkuu.

Kwa kuongezea tu ni kwamba hii kitita tunapata kwa huu ubingwa wa kihistoria 2021/2022 bado haifikii kiasi walichopata kwa huo ubingwa wao wa hiyo misimu minne wanayojifariji nao.
 
Back
Top Bottom