The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Yanga ni lidude fulani likuubwaaa ambalo kuna watu wanaliogopa sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia Mkuu. 😅😅Yanga ni lidude fulani likuubwaaa ambalo kuna watu wanaliogopa sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ihefu ni ya sri lanka ????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe huna akili ndiyo maana unashindwa kuelewa lugha nyepesi kabisa licha ya kukudadavulia mwanzo.
We ni mrefu kolo mkubwa weweKa goal keeper kafupi ubishi tu[emoji16]
Unasemaje wewee!Kila la kheri Timu ya Wananchi. Tunachohitaji ni Points 3 ili kujiwekea asilimia nyingi zaidi za kutwaa ubingwa kwa mara ya pili mfululizo.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.