Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,124
- 2,369
Kuna mbumbu mmoja akasema ile hela ya kutoka Makundi kwenda robo fainali wanapewa wale tu walioshindwa kufuzu kuingia nusu fainali kwahiyo yanga ile Tsh.million 800 hapewi wanapewa hii 1b.yakuingia nusu. Nikaishia kuguna nikasema kweli Kanjibai anayohaki yakuwaburuza mambumbu.....maelezo kidogo