Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Aisee!! Kazi tunayo Mkuu.Nilileta uzi kutilia mashaka haya mafanikio tunayoyapata yanaipa changamoto kubwa sana uongozi wa Yanga. Na ndicho kitakachotokea, Nabi kasepa na pia benchi la ufundi linazidi kumegeka. Wachezaji pia kadhaa tunaweza tukawakosa. Msimu ujao tunaenda kuanza na upya
Na usishangae kesho na keshokutwa kuna mwingine kutoka benchi la ufundi tunamshukuru tena kwa muda aliotufanyia kazi.