Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nilileta uzi kutilia mashaka haya mafanikio tunayoyapata yanaipa changamoto kubwa sana uongozi wa Yanga. Na ndicho kitakachotokea, Nabi kasepa na pia benchi la ufundi linazidi kumegeka. Wachezaji pia kadhaa tunaweza tukawakosa. Msimu ujao tunaenda kuanza na upya
Aisee!! Kazi tunayo Mkuu.

Na usishangae kesho na keshokutwa kuna mwingine kutoka benchi la ufundi tunamshukuru tena kwa muda aliotufanyia kazi.
 
yanga hawana treble bana mwenye fact aweke mezani treble inatakiwa taji ambalo lina zaidi ya mechi mbili sasa ngao sio taji ni kama bonanza tu jiulize kwann man city treble yao hawajaweka ngao?
Hii ni kwa sheria ya Fifa, Caf au Tff? Tuwekee hapa sheria yoyote inayoongelea mambo ya treble. Kwahiyo unataka Yanga ya Tanzania ifanye na kutafsiri mambo kama Man City ya England?
 
Mpaka sasa hawa ndo Wachezaji tumewapa mkono wa kwaheri ndani ya Timu ya Wananchi.
Screenshot_20230622-081217_Instagram.jpg
 
Screenshot_20230625-125043_Chrome.jpg

Klabu ya Yanga jana imemtangaza MIGUEL ANGEL GAMOND (59) raia wa Argentina kuwa Kocha Mkuu mpya.

MIGUEL ANGEL GAMOND amewahi kufundisha Timu mbalimbali ikiwemo Wydad Casablanca ya Morocco, Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini, na RC Belouzdad ya Algeria.

Karibu Kocha kwa Timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
View attachment 2668152

Huyu kocha simuamini kabisa kwasababu hajawahi kudumu kwenye team alizo fundisha

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom