Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Uzi huu mbona leo umepoa kuna nini?

Kuna hii
4489968c-4f22-4129-aeff-31c046a89587.jpg
 
MAANA HALISI YA MIDFIELDE HAVOC 🙌🏾🔥

Pacome Pedoh Zouzoua
Maxi Mpia Zengeli
Stephane Aziz Ki
Mudathir Yahya Abbas
Khalid Aucho "The Tank"

  • Skills
  • Intellect
  • Awareness
  • Sharpness
  • Decision

Ukuta wa Geita Gold ulikuwa mgumu ila CODE ya Gamondi ilikuwa moja tu yenye pande tatu.

  • Attacking Influx/Overload
  • Ball Circulation
  • Patience

Kama Geita Gold wangefika halftime bila kuruhusu kufungwa basi tungewasifu kwa kufunga njia zote kwa kuufinya uwanja na idadi kubwa ya wachezaji langoni mwao (Low Block Defense)

Ila kwakuwa wameruhusu bao 2 basi tunawasifu Yanga Sc kwa CODE ya Kocha Gamondi .

Kudos to Top Quality players
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom