The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulipopolewa!
Shindwaaa
MAANA HALISI YA MIDFIELDE HAVOC 🙌🏾🔥
Pacome Pedoh Zouzoua
Maxi Mpia Zengeli
Stephane Aziz Ki
Mudathir Yahya Abbas
Khalid Aucho "The Tank"
- Skills
- Intellect
- Awareness
- Sharpness
- Decision
Ukuta wa Geita Gold ulikuwa mgumu ila CODE ya Gamondi ilikuwa moja tu yenye pande tatu.
- Attacking Influx/Overload
- Ball Circulation
- Patience
Kama Geita Gold wangefika halftime bila kuruhusu kufungwa basi tungewasifu kwa kufunga njia zote kwa kuufinya uwanja na idadi kubwa ya wachezaji langoni mwao (Low Block Defense)
Ila kwakuwa wameruhusu bao 2 basi tunawasifu Yanga Sc kwa CODE ya Kocha Gamondi .
Kudos to Top Quality players
Naunga mkono hojaMAANA HALISI YA MIDFIELDE HAVOC 🙌🏾🔥
Pacome Pedoh Zouzoua
Maxi Mpia Zengeli
Stephane Aziz Ki
Mudathir Yahya Abbas
Khalid Aucho "The Tank"
- Skills
- Intellect
- Awareness
- Sharpness
- Decision
Ukuta wa Geita Gold ulikuwa mgumu ila CODE ya Gamondi ilikuwa moja tu yenye pande tatu.
- Attacking Influx/Overload
- Ball Circulation
- Patience
Kama Geita Gold wangefika halftime bila kuruhusu kufungwa basi tungewasifu kwa kufunga njia zote kwa kuufinya uwanja na idadi kubwa ya wachezaji langoni mwao (Low Block Defense)
Ila kwakuwa wameruhusu bao 2 basi tunawasifu Yanga Sc kwa CODE ya Kocha Gamondi .
Kudos to Top Quality players
Aiseee. Walituweza Mkuu.Tulipopolewa!
Gamondi alichelewa kuusoma mchezo. Hao walitakiwa wapangiwe kikosi cha champions league kutokana na historia ya mwaka jana!Aiseee. Walituweza Mkuu.
Ila kusema kweli Yanga mpira sasa hivi wanaupiga!Aiseee. Walituweza Mkuu.
Kweli kabisa Mkuu.Gamondi alichelewa kuusoma mchezo. Hao walitakiwa wapangiwe kikosi cha champions league kutokana na historia ya mwaka jana!
Jana Geita cha moto amekiona!Kweli kabisa Mkuu.
Sana yaani. Timu ya Wananchi imekuwa tishio.Ila kusema kweli Yanga mpira sasa hivi wanaupiga!
Nilikuwa shamba sikufanikiwa kuiona hiyo game aisee.Jana Geita cha moto amekiona!
Kituo kinachofuata tunaenda kulamba ice cream! Tarehe 25 Oktoba saa 12:00 jioni!Nilikuwa shamba sikufanikiwa kuiona hiyo game aisee.
Hivi kituo kinachofuata ni wapi?
Points 3 zetu zipo hapo.Kituo kinachofuata tunaenda kulamba ice cream! Tarehe 25 Oktoba saa 12:00 jioni!