Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Mh tatizo.Haendan na mfumo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh tatizo.Haendan na mfumo
Ila dogo anajua sana.Mr Burudani [emoji23][emoji91]View attachment 2794946
Af kuna wadau wanakwambia aachwe eti. [emoji1]Ila dogo anajua sana.
Ila dogo anajua sana.
Huyu jamaa alikuwa kwenye first 11 ya Gamondi kabla hajaumia kilichomtoa ni performance aliyoonesha pacome kipindi yy anauguza majeraha, ni mchezaji anayestahili kuwa kwenye first 11 ukiachilia mbali izo nutmegs anazofanya ukimuangalia uchezaji wake kwanza ana spidi na maamuzi yake ni sahihi kwa asilimia kubwa, hapotezi mipira pasi ikiienda kwake haipotei kizembe na akitoa pasi uhakika hapigi pasi mkaa, pia ni mtengenezaji mzuri wa nafasi na anapofanya movement zake kwenda golini anaonekana tu ni mtu hatari....kitakacho muangusha kule mbele ni kucheza na mshambuliaji wa hovyo kama mzize.Anajua timu ikisha jihakikishia ushindi ndo awekwe atoe radha
Hapo namba 5 wapewe muda bwana! Kwenye ligi wanatosha ila champions league nafikri tutakuwa na offer ya kuongeza wachezaji! Hapo ndipo tupate striker wa kucheza huko!Hivi Musonda yuko wapi?
My observations kutoka mechi ya jana.
- Kocha alifanya dangerous experimentation ya kuwachezesha wachezaji nje ya nafasi zao asili. Pacome, Job na Maxi
- Mudathir sio wa kuanza kati na Aucho, badala yake Pacome aanze nafasi ile Muda aingie baadaye
- Kennedy lazima aanze tu kwa kikkosi hiki, hatuna striker zaidi yake, pia angetusaidia kuwa kama winga
- Lazima tununue mawingi halisi na srtiker halisi dirisha dogo.
- Moloko, Skudu, Konkoni wapewe THANK YOU!
Kuna majitu yanaenda kufa hiyo Jumapili!
Nakazia Mkuu. Sikioni cha kutuzuwia.Kuna majitu yanaenda kufa hiyo Jumapili!
Nisingependa kumuona mzize akianza, af ngushi, nkane, kibwana shomari na mauya wasicheze kabisa, walobaki kwa atakavyopanga fresh tu.... [emoji3538] | 𝗞𝗔𝗥𝗜𝗔𝗞𝗢𝗢 𝗗𝗘𝗥𝗕𝗬
Vikosi vilivyoanza Tanga, ungependa viingie hivi hivi au vibadilishwe, je ni maeneo gani ?
𝗬𝗼𝘂𝗻𝗴 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮𝗻𝘀 𝗦𝗖
◉ Diarra
◉ Yao Kouassi
◉ Lomalisa
◉ Mwamnyeto
◉ Ibra Bacca
◉ Aucho Khalid
◉ Max Nzengeli
◉ Mudathir
◉ Mzize
◉ Musonda
◉ Moloko
Substitute
◎ Metacha — 0' min
◎ Kibabage — 0' min
◎ Job — 0' min
◎ Gift Fred — 0' min
◎ Mkude Jonas — 0' min
◎ Sure boy — 0' min
◎ Pacome — 10' min
◎ Aziz Ki — 25' min
◎ Konkoni — 5' min
𝗦𝗶𝗺𝗯𝗮 𝘀𝗽𝗼𝗿𝘁𝘀 𝗰𝗹𝘂𝗯 :
◉ Ally Salim
◉ Kapombe
◉ Zimbwe Jr
◉ Kennedy
◉ Che Malone
◉ Kanoute
◉ Chama
◉ Mzamiru
◉ Bocco
◉ Ntibazonkiza
◉ Miquissone
Substitute :
◎ Abel — 0' min
◎ Israel — 0' min
◎ Kazi — 0' min
◎ Fabrice Ngoma — 45' min
◎ Aubin Kramo — 0' min
◎ Baleke — 40' min
◎ Kibu Denis — 45' min
◎ Moses Phiri — 5' min
◎ Onana — 30' min