Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

UTABIRI WANGU LEO;

YANGA WANAPIGWA 2 KWA 1
SIMBA WANAPIGA MTU 1 KWA BILA...
 
Hivi kweli yanga tunashida ya kusajili namba tisa mwingine?, Kwenye ligi tumefunga magoli 20+ mpk sasa kuna timu zimepigwa tano tano na yanga....tulete kiungo wa kuwa mbadala wa Aucho na winga moja ya magoli tumalize kazi.
 
Kwa dirisha hili hapana hatuna haja ya namba tisa.

Zaidi nakuunga mkono kwenye hizo nafasi ulizo zitaja.

Kupata namba tisa misiri ya mayele kwa dirisha dogo.. ni Kama ku bet na Mara nyingi nikupata magalasa ya one season Wonderful.
 
Maana kuna tetesi zinatembea yanga kutaka kusajili namba tisa mwingine.
 
Screenshot_20231216-182407_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom