mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Shabiki mwenzangu wa utopolo hakikisha asubuhi unakunywa supu nzito na chapati 2
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaUTABIRI WANGU LEO;
YANGA WANAPIGWA 2 KWA 1
SIMBA WANAPIGA MTU 1 KWA BILA...
Kwa dirisha hili hapana hatuna haja ya namba tisa.Hivi kweli yanga tunashida ya kusajili namba tisa mwingine?, Kwenye ligi tumefunga magoli 20+ mpk sasa kuna timu zimepigwa tano tano na yanga....tulete kiungo wa kuwa mbadala wa Aucho na winga moja ya magoli tumalize kazi.
Maana kuna tetesi zinatembea yanga kutaka kusajili namba tisa mwingine.Kwa dirisha hili hapana hatuna haja ya namba tisa.
Zaidi nakuunga mkono kwenye hizo nafasi ulizo zitaja.
Kupata namba tisa misiri ya mayele kwa dirisha dogo.. ni Kama ku bet na Mara nyingi nikupata magalasa ya one season Wonderful.
Futa mikono jipige matakoni sema mimi ni mbumbumbuUTABIRI WANGU LEO;
YANGA WANAPIGWA 2 KWA 1
SIMBA WANAPIGA MTU 1 KWA BILA...