KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Ingekuwa mbinu nzuri,sema CAF ndiyo uruhusu mechi ichezwe muda fulani kulingana vigezo vyao.Ila hawa Waarabu ilitakiwa tuwaweke pale kwa Mkapa saa 8 mchana ili ndimi ziwachomoke!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa mbinu nzuri,sema CAF ndiyo uruhusu mechi ichezwe muda fulani kulingana vigezo vyao.Ila hawa Waarabu ilitakiwa tuwaweke pale kwa Mkapa saa 8 mchana ili ndimi ziwachomoke!
Na hii ndio ingekuwa dawa. Hivi kwani game yenyewe saa ngapi?Ila hawa Waarabu ilitakiwa tuwaweke pale kwa Mkapa saa 8 mchana ili ndimi ziwachomoke!
Viongozi wa Yanga wamechemka sana kupenda kucheza mechi saa moja. Hawajui kupanga mambo kimkakati, wangeomba wacheze hata saa kumi. Waarabu wamezoea kucheza mechi zao usiku hivyo ingewapa tabu ile joto la mchana. Tungepanga mkakati wa kumariza biashara ya kufuzu mapema kabisa kwa kuhakikisha timu inapata goli nneNa hii ndio ingekuwa dawa. Hivi kwani game yenyewe saa ngapi?
Hivi kumbe huwa ndo iko hivi?Ingekuwa mbinu nzuri,sema CAF ndiyo uruhusu mechi ichezwe muda fulani kulingana vigezo vyao.
Kweli kabisa.Viongozi wa Yanga wamechemka sana kupenda kucheza mechi saa moja. Hawajui kupanga mambo kimkakati, wangeomba wacheze hata saa kumi. Waarabu wamezoea kucheza mechi zao usiku hivyo ingewapa tabu ile joto la mchana. Tungepanga mkakati wa kumariza biashara ya kufuzu mapema kabisa kwa kuhakikisha timu inapata goli nne
Ni wenyeji ndio wenye hilo jukumuHivi kumbe huwa ndo iko hivi?
Mi nikawa najua mwenyeji ndo anachagua acheze mechi saa ngapi.
Hapana mkuu sio hivyo, swala la muda lipo chini ya wenyeji wenyewe (TFF na Yanga)Ingekuwa mbinu nzuri,sema CAF ndiyo uruhusu mechi ichezwe muda fulani kulingana vigezo vyao.
Wapi Yanga imetajwa kwenye hicho kifungu? Huu ni uchuro wa TFF peke yake.Hapana mkuu sio hivyo, swala la muda lipo chini ya wenyeji wenyewe (TFF na Yanga)
Hapo imetajwa host association ambapo kwa Tanzania ni TFF. Na TFF kazi yake kubwa ni kupeleka taarifa CAF na sio kupanga. Yanga wanaweza kuamua mechi yao ya CAF ichezwe popote pale ili mradi uwanja ukidhi vigezo vya CAF kiubora.Wapi Yanga imetajwa kwenye hicho kifungu? Huu ni uchuro wa TFF peke yake.
Mtambo wa magoli sijui umeanza kujipata? Mpaka waseme!
Yah! Nadhani hivyo na hizi goli mbili za jana zitazidi kumfanya ajiamini.Mtambo wa magoli sijui umeanza kujipata? Mpaka waseme!
Wapi Yanga imetajwa kwenye hicho kifungu? Huu ni uchuro wa TFF peke yake.
Wakuu mbona kwenye ile press ya juzi kuelekea hii mechi ya jumamosi Ally Kamwe alisema mwenye kupanga muda wa mechi ichezwe saa ngani ni wenye mashindano yao yaani CAF wenyewe.Hapana mkuu sio hivyo, swala la muda lipo chini ya wenyeji wenyewe (TFF na Yanga)
Hizi ni sheria za mashindano ya CAF champions league, ukisoma kipengele namba 10 kinaelezea juu ya siku ya mechi, uwanja na muda wa mechi. Ally Kamwe huenda kaongea vile ili tuone hawakuwa na mamlaka kwenye hilo hivyo hawana cha kulaumiwa au pengine hajui sheria za CAF champions league.Wakuu mbona kwenye ile press ya juzi kuelekea hii mechi ya jumamosi Ally Kamwe alisema mwenye kupanga muda wa mechi ichezwe saa ngani ni wenye mashindano yao yaani CAF wenyewe.
Au na yeye katupiga kamba.
Hapa kilichopo Mkuu huyo Kamwe huenda hazijui sheria za CAF kama usemavyo au kama anazijua basi kwa mawazo yake anajua mashabiki walio wengi hatujui hizo sheria za CAF.Huyo ni Ally Kamwe ila hii hapa chini ni sheria ya CAF inavyosema. Sasa je Ally Kamwe anataka kusema sheria za CAF ni za uongo?