Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Tunagawa dozi kulingana na namna mpinzani anavokujaMsije mkaangukia pua tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunagawa dozi kulingana na namna mpinzani anavokujaMsije mkaangukia pua tuu
Tunagawa dozi kulingana na namna mpinzani anavokuja
Spider anaruhusu sana nyavu ,tunapitisha hapo hapoSie yetu macho na mikeka yetu
Spider anaruhusu sana nyavu ,tunapitisha hapo hapo
Wamekamia balaa na wanaroga huko hatari ila tutawafunga tu kwa ubora wa kikosi chetuHakika swahiba.
Sikioni cha kutuzuia aisee.
Ebu Wacha zako bwana....kwanza wee yanga au thimbaaa ?Kwenye kikao cha mashangazi tulishakubaliana mzabzab ni malaika kabisa,yeye ni mineno tu vitendo zero.
Ubaya ubwelaEbu Wacha zako bwana....kwanza wee yanga au thimbaaa ?
Ok mwanathimbaa kesho Shadeeya atakuchekaUbaya ubwela
Yaani wale majamaa wako vizuri ..Combination ya usajili ilitiki sanaIla nawakubali na zile combination play zenu m azopigaga pale nje ya penalty area...utasikia pacome chama Aziz ki pacome dah hatari
Hana issue, hainaga vigezo hivyo.Hii mechi sio nyepesi kwa Simba wala Yanga.
Mpaka sasa hivi kanji katoa nafasi sawa za ushindi kwa timu zote mbili.