Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,252
for how much? Nikajilie serengeti saa hizi, yanga wanaweza kunipandisha sukari
wee acha tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
for how much? Nikajilie serengeti saa hizi, yanga wanaweza kunipandisha sukari
wee acha tu..
Yanga 3 Lupopo 2
Zimeongezwa dakika 30 Kandambili Wanashambulia kama Mancity teh teh teh
Kwa sasa ni half time naburudika na Bolingo hapa Yanga 1 Lupopo 0 goal scored by Jerrison Tegete
Afadhali umeua mzizi wa fitna manake tulikuwa tunachanganyikiwa tu na baadhi ya posts. Haya kanda 2 rudini home manake ninyi mnaalergy na ligi za kikubwa lol
Matokeo Rasmi
Lupopo 1 Yanga 0
Natabiiri watasingizia wamefungwa kwa sababu waliibiwa mabegi ...
Na mambo gani yaliyoponza mpaka matokeo ya Dar es Salaam yakawa hivyo? Sababu zitatolewa kwa mtindo wa backwards hadi mchawi apatikane !!Papic amesema kuwa kuna mambo matatu yameiponza timu yake ambayo ni uwanja mbovu, hali ya hewa pamoja na matokeo ya Dar es Salaam.