YouTube Hali ni Mbaya! Viewers kwa Wasanii Zimeshuka Kinoma
Pia majanga ya magonjwa na misiba imefanya idadi ya watazamaji kupungua
 
Sehemu pekee tuliyoshauriwa kuenda ni Burundi. Najilaumu kujinyima haki yangu ya kutumia vote yangu 2015. Inawezekana tunalaumu lakini bado tuna uoga wa kufanya mabadiliko 2025.

Guys there must be a stop to all these stupid and unethical stuffs the government is doing each day.
.
#StandAtyourRightplace
 
Haya sasa, wale wanunua views ndio muda wenu huu.
 
Sehemu pekee tuliyoshauriwa kuenda ni Burundi. Najilaumu kujinyima haki yangu ya kutumia vote yangu 2015. Inawezekana tunalaumu lakini bado tuna uoga wa kufanya mabadiliko 2025.

Guys there must be a stop to all these stupid and unethical stuffs the government is doing each day.
.
#StandAtyourRightplace
Njia ya sanduku imefeli vibaya sana tena zaidi ya mara moja. Toa ushauri mwingine nini kifanyike kiongozi
 
Suala la mabando wasanii hawajawahi kuipigia kelele maana kwao siyo ishu wanazimudu bila kuangalia upande mwingine wa shilingi ,waache waipate na wao
 
Buku Mb 300 halafu uende Youtube...thubutu

Wanafyonza MB's Hadi uroto wa kwenye mifuba...Mimi na MB zangu 600 naingia YouTube mguu mmoja Upo nje nikimaliza natoka mbio kama mbuzi....Lkn mm nateseka Sana maana YouTube Nina addiction nao
 
Wanafyonza MB's Hadi uroto wa kwenye mifuba...Mimi na MB zangu 600 naingia YouTube mguu mmoja Upo nje nikimaliza natoka mbio kama mbuzi....Lkn mm nateseka Sana maana YouTube Nina addiction nao
Daaah ama kweli watu tuna tofautiana sana.Mimi naweza kumaliza hata mwezi bila kuingia Youtube,na mara nyingi naingia kuchungulia nilipata notification za accounts nilizo-subscribe.

Insta naweza maliza hata day moja bila kuingia, sehemu pelee ambapo siwezi maliza siku bila kupita ni Jf na what's up.
 
Mbna kuna mserereko mm naupata kutoka kwa HA tuunel plus. Iko bomba San
 
1639679341585.png


Kumekuwa na mabadiliko makubwa sana katika views za wasanii wetu huko youtube baada ya bei za mabando kupanda bei, kwa sasa kinachoendelea nje ya mipaka yetu inaonekana kwamba muziki wetu umekosa mvuto kwasababu views zimepungua sana, Hakuna video iliyofikia hata views milioni 1 na nusu tangu bei zipande.

Ikumbukwe ya kwamba moja kati ya sababu kubwa zilizofanya mziki wetu ufike mbali ni kwamba wasanii wetu walipata attention kubwa sana katika platfors maarufu ya Youtube kwa kigezo cha views, hiki kigezo kilifanya hata tv na radio za bje kucheza muziki wetu, waandaaji wa tuzo kama bet na afrimma nao walitupia jichi huku bongo kwasababu internet ya gharama nafuu iligeuka kuwa silaha kubwa sana ya kuwapaisha wasanii wetu hata nje ya mipaka

gharama nafuu ndizo zilifanya wasanii wetu kuwepo kwenye list ya wasanii wa Africa wenye subscribers wengi, Msanii kama Diamond aliwea rekodi ya video zake zote za youtube kupata views bilioni, n.k. haya mambo yalikuwa yanafanya tufatiliwe hata na nchi nyingine

Views milioni ambazo huku kwetu hata msanii wa kawaida alizipataa, zilikuwa zinatamaniwa sana na wasanii wa nchi nyingi sana kiasi kwamba wengi walivuka mipaka kuja huku kwetu kuomba collabo.

Views hazikuwa ujivuni pekee, views ni pesa, msanii akiruhusu kuwe na tangazo kabla video yake haijaanza huwa kuna pesa analipwa na youtube, malipo haya yaliwapa motisha wasanii wetu kurekodi miziki katika studio nzuri na kugharamia vizuri video zao huku wakiwa na uhakika wakurudisha baadhi ya gharama ama kupata faida kabisa,

kwa sasa ni dhahiri na wazi kabisa wa Nigeria wanagonga cheers maana tumejiharibia sisi wenyewe
 
Pia mkuu nje ya gharama za bando quality ya mziki ipo chini......quality ya mziki ikiwa juu watu wataingia tu kuitafuta nyimbo au video
 
Back
Top Bottom