Chanel 10+ na Dodoma TV tunabanjuka tu full madude all Day
 
hakuna video imefika views milioni 5 tangu mabando yapande october 19 2021

Nadhani hara ule uzito wa views uliokuwa ukiwabebeba wasanii wetu kwenye tuzo ndio basi tena.... Wasanii wetu kwa sasa wanapata hizi views milioni 3 wataweza kushindana na wanaijeria tena???

hapa kwa sasa nafasi yetu huenda ikachukuliwa na afrika kusini,







 
Safi sana hio.

Hao wasanii ndio wapiga kampeni wa waliopandisha Bei za bando.Nashauri Bei zipandishwe tena.
wasanii wa nigeria tulikuwa tunawavimbia sana kwenye views huko kwenye tuzo, tcra imekuwa msaada mkubwa sana kwa wanaijeria maana walikuwa wanalalamika sana watanzania tuna internet ya bei rahisi
 
Tulishasema siku nyingi sio kwamba muziki wetu uko juu kuzidi wenzetu bali gharama nafuu za internet ndio zilikuwa zinatubeba. Muulizeni Polepole,kwa nini hajakata rufaa chuo chake kifunguliwe ?
 
Mondi alikua anafikisha 4m within 2weeks daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…