Yoweri Museveni Rais wa Uganda amepiga marufuku Mitumba. Amesema ni Nguo zilizoachwa na Wafu wa Ulaya

Yoweri Museveni Rais wa Uganda amepiga marufuku Mitumba. Amesema ni Nguo zilizoachwa na Wafu wa Ulaya

Nimekwambia pale juu kuwa una huruma na uwezo mdogo wa mlala hoi ila huna huruma ya kumtoa hapo alipo.
Kwa maelezo yako nianavyo ni kuendelea kumfanya mlala hoi awe na uwezo mdogo wa kununua .
Mvaa mitumba ameathiliwa na uwepo wa mitumba. Mitumba inamsaidia hapo hapo unamdumaza kiuchumi mara 3 zaidi.
Mkulima wa pamba ambae angeuza pamba yake kwa bei nzuri kiwandani angeweza kununua nguo mpya.
Muuza mitumba angefungua duka la kuuza nguo mpya badala ya mitumba.
Mshona nguo angepata order nyingi zaidi kwenye kampuni za kuuza nguo.
sekta ya logistic ingekuwa zaidi kwa mzunguko wa uzalishaji nguo, export ingekuwa kubwa zaidi na kutusaidia kupata dola ambayo tungeitumia kununua heavy duty textile machine( huu ni mlishano wenye tija ya kumuinua mlala hoi)
Miitumba imeua huo mzunguko wote kwenye sekta ya nguo, ni vipi mlsla hoi atainuka?.
Mfano hapa nilipo tunalima viazi mviringo. Bei ya viazi inapokywa juu kila myu anapata nguvu ya kununua, na inaposhuka kila mtu anauwezo wa kuvila viazi na kusaza ila hakuna mwenye hela kila mtu anakuwa masikini. ndio case ya mitumba
Mitumba inatengeneza vicious cirle ya umasikini mbaya sana si utajiri na kujikomboa.
Masikini mmoja anaongeza umasikini kwa mwenzie. Wanaonufaika kwenye mitumba ni wahindi, wazingu na madalali wachache.
Twende kwenye vuwanda vya nguo kila kitu kitajurekebisha chenyewe, tupo ktk karne ya sayansi na teknolojia uwekezaji ndio kila kitu.
Hakuna atakaetembea uchi.
Tukizungumzia kiwanda hatuzungumzii tu wafanyakazi wa mle kiwandani.
Kiwanda kinaanzia kule malighafi ilipozalishwa mpaka kuwa bidha.
Mimi siangalii kiwanda kwa maana ya wafanyakazi, hao ni sehemu ndogo sana ktk industrislization.

bila hayo so called malonya unayoyaitwa wewe angekaa uchi au kuvaa kauka nikuvae ni bora zaidi ?
Bro hakuna TRANSFORMATION/ TRANSITION isio na gharama.
BRICKS wanataka kuondoka ktk utumwa wa DOLLAR, je wakatae kisa kuna mambo watayakosa? Unadhani kwamba BRICKS kuna vitu hawatavikosa ?
Kama wenzetu wanatoka kwenye jambo kubwa la kutegemea DOLLAR sisi ni nani tushindwe jambo dogo la nguo !
Kuhama kutoka kwenye mitumba nalo ni kubwa sana kama tukisema sasa mitambo na madawa ya west bas ?
Kama tu tunapingana kutoka katika mitumba tunaweza kukubaliana kujitegemea sekta kubwa kubwa mfano military, medicine nk.
TRANSFORMATION ina gharana zake but in long run it is fruitful!
Noipo tiyari kuvaa magome iwapo yu bionhozi wangu wataonesha nia ya kweli.
Nwabafalsafa nguli wa kiafrika MALCOM X
aliongekea
HOUSE NEGRO
FIELLD NEGRO.
Huoni unatuhamasisha kuendelea kywa HOUSE NEGRO oli tuke makombo ya mzungu.
Kwa nini karne ya 21 uwe HOUSE NEGRO?
Bto viongozi wetu gawajatai mutumba kwa sababu haitusaidii bali jwa sababu inatudhalolisha na kudololesha UCHUMI WA NCHI.


Aliyekwambia uvae mtumba ni nani kama wewe you can afford kashone au kanunue zile nguo ambazo zikipigwa upepo zinapauka...,

Kumbuka hapa hatuzungumzii mimi na wewe, tunazungumzia jamii tunazungumzia Africa. NEO AFRICANISM!

Nje ya mada :
Halafu nyie wachumi mbuni mbinu zinazoendana na mazingira yetu, theory za wazungu mnazonukuu zimefeli kufanya kazi hapa Afrika ndio maana tunaendelea kuwa na mataifa masikini na wachumi wamejazana tu na kuzipotosha serikali zetu.
Ndio maana raisi JPM aliwapuuzia mbali akafanya mambo yske ba yakaenda.
WARABU,WACHINA hawajatumia theory za wazungu kuinua UCHUMI wao bado nchi zao zina excel. Wanathibitisha kuwa tunaweza endelea bila theory za hao wazungu.
 
Hii safi sana.

Nimelikemea hili na nimeliponda kwa miaka mingi sana.

Waafrika wote tupige marufuku mitumba yote. Ya nguo, ya magari, ya nafriji na kila kitu.

Ndipo tutakapoweza kufanya vyetu wenyewe.

Hapa namuunga mkono Museveni 100%.
Bila kusahau kanzu
 
Acha utani wewe......

Wakili msomi Pascal Mayalla alishasema sio kila mtumba ni mbaya kutumika tena huku kwetu, mfano mabehewa ya treni.
Mkuu Proved , mimi ni realist, sifa kuu ya ma realist ni kuusema ukweli no matter what, ukweli ni kuwa kuna vitu vya mtumba ni imara na madhubuti kuliko new Brand mfano ni mabehewa ya treni ya mtumba.

Yale mabehewa japo Watanzania tunaelezwa ni Brand new kutoka Korea, the reality ni mabehewa mitumba ya Mjerumani, ni chuma chuma cha Mjerumani!. Korea ni anakarabati tuu na kutia nakshi nakishi! Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

P
 
Ongeza uzalishaji ndani mbona watu watashift tu kutoka huko kwenye mitumba.

Walipiga ban sukari toka nje ya nchi sasa soko hapo juzikati likawaelemea mno. Mambo ya kutumiq ubabe sio mazuri kabisa.
 
Kweli umasikini unachnagia sana. Lakini mazoea pia huchangia.
Wakati mwingine tunanunua viatu vya mtumba (Kwa mfano) vinavyogharinu 40,000/- na zaidi ambayo ingetosha kununua viatu vipya dukani.
Kiatu cha mtumba cha 40,000/= ukinunua utakaa nacho hata 4 years tofauti na cha dukani.
 
Waafrika wote tupige marufuku mitumba yote. Ya nguo, ya magari, ya nafriji na kila kitu.
we bibi haupo sawa kichwani mwako, una ban importation ya second hand cars kwa viwanda vipi ulivyo navyo? au ndio vidole vikikuwasha tuu unaingia humu kuonesha ukilaza wako...
 
Tuna viwanda vya nguo tofauti na makaniki, mashuka makanga na mavitenge?
Ndiyo tukizuwia mitumba vitamea kama uyoga.

Haya ni makubaliano ya Afrika Mashariki nzima. Nadhani na deadline ilishatangazwa. Museveni kaona isiwe tabu
we bibi haupo sawa kichwani mwako, una ban importation ya second hand cars kwa viwanda vipi ulivyo navyo? au ndio vidole vikikuwasha tuu unaingia humu kuonesha ukilaza wako...
Ndipo watu watawekeza kwenye kujenga viwanda hapahapa, au tutembee baiskeli.

Maendeleo hayaji kwa kuchekeana tu. Lazima tufanye maamuzi ya makusudi kabisa kuchochea maendeleo.
 
Wana viwanda vya kutosha au itakuwa kila kitu, nguo, viatu, magari, vyombo nk ni mitumba.

Au wananunua China hivi vitu kwenye ubora mdogo.
 
Rais Museven amepiga Marufuku Nguo za Mitumba kuingiza nchini mwake akidai Hizo ni Nguo za marehemu Wazungu

Hapa Bongo Sidhani kama angeeleweka 😂😂😂

Source: Kitenge tv

Nawatakia Sabato Njema 😄
Mods unganisha huu Uzi hapa 👇
 
Museveni ni mtu ambae amejiandaa kugombana na wazungu, he has nothing to lose yeye binafsi.

Huku kwetu, Samia hataweza kugombana na wazungu kwa sababu she has everything to lose, ataendelea kuwabembeleza ili angalau apate uhalali.

Sisi hatutaweza.
 
Kabla hajapiga marufuku alitakiwa awe ameshakua na viwanda vyakutosha vyakuzalisha nguo zakutosha zenye ubora,baada ya hapo aanze kupunguza uagizaji wa hizo nguo toka nje hadi hali itakapokaa sawa.Tofauti na hapo kakurupuka.Tatizo la nchi hizi sio mitumba bali uwekezaji wetu uko chini sana.
 
Tz gani ya huyu mama anayesapoti ushoga hadharani bila aibu?.
 
Rais Museven amepiga Marufuku Nguo za Mitumba kuingiza nchini mwake akidai Hizo ni Nguo za marehemu Wazungu

Hapa Bongo Sidhani kama angeeleweka 😂😂😂

Source: Kitenge tv

Nawatakia Sabato Njema 😄

Rais Museven amepiga Marufuku Nguo za Mitumba kuingiza nchini mwake akidai Hizo ni Nguo za marehemu Wazungu

Hapa Bongo Sidhani kama angeeleweka 😂😂😂

Source: Kitenge tv

Nawatakia Sabato Njema 😄
M7 ana viwanda vya ku fulfill waganda wote? Kagame kaweza cz ya population ndogo! Bongo bado ngumu sana. Hiv ukiangalia ni kiwanda gan utapata jeans za grade? Cadet au t-shirts? Au ndo wabongo watavishwa masempere!!
 
Back
Top Bottom