Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

Marais husema kitu kilifanyiwa ujasusi

Kinyume chaneno ,nchi yawote itakuwa nn?
Ndiyo wote mpo sahihi wewe na hao marais,wao walimshauri Bashir nchi iwe moja ninyi malaika na hao so called Kaffir lakini ninyi mkaona hamuwezi kuchangamana na makafir kwa sababu nyie ni wasafi sana that's why pale juu nikakuuliza.......

Wametengana Kaffir huku mwenye dini safi huku hiyo amani iko wapi kwa hao wenye dini safi?ni ujinga tu hata huwezi kuwachukulia mfano kwa lolote
 
Ndiyo wote mpo sahihi wewe na hao marais,wao walimshauri Bashir nchi iwe moja ninyi malaika na hao so called Kaffir lakini ninyi mkaona hamuwezi kuchangamana na makafir kwa sababu nyie ni wasafi sana that's why pale juu nikakuuliza.......

Wametengana Kaffir huku mwenye dini safi huku hiyo amani iko wapi kwa hao wenye dini safi?ni ujinga tu hata huwezi kuwachukulia mfano kwa lolote
Saizi wenye dini wao wenyewe wananyukana
 
Ni kweli Mkuu, sasa ina maana tungekuwa na Mfalme tungekuwa mbali?
Je Ufalme unazuia upigaji au ni mfumo tu
Na kwanini wametoka kwenye njaa ya kufa mtu mpaka kuwa hivyo?
Huwezi kukuta police kakusimamisha akakuomba rushwa uarabuni
Ni utamaduni waliojijengea ambao sisi tumeshindwa kabisa kuacha wizi na kuliangamiza taifa kwa rushwa

Ila kuna kitu hakiko sawa kabisa kwetu
Democracy inafanya kila mtu awe mwanasiasa!!
Kila mtu awe mpigaji
 
mmmh hiyo nilikua sijui
wananunua mifugo mingi, ng'ombe, mbuzi na kondoo wanatafuta nyumba ya ibada yao yenye uwanja mkubwa kisha wanaajiri wachinjaji. Yaani mpaka polisi na migambo huwa wapo kulinda asitokee mwizi wa kuchepesha nyama za bure na kuzipeleka buchani. Kinachoudhi zaidi ni wachunaji kuacha ngozi, madamudamu na yale mavimavi ya utumbo yakitapakaa hovyo mitaani huku hakuna fisi na kombamavi wa kusafisha mabaki hayo yanakaukiana tu
 
Msudani unamkuta ni mwafrika mweusi alafu anajiita mwarabu
Asili ya muarabu ni mweusi.Hao unawaona weupe,ni baada ya muarabu wa asili(,mweusi),Kuoana na watumwa wanawake wa ulaya ya mashariki.Hata neno Afrika ni jina la mtawala muarabu mweusi,alikuweko huku Afrika.Kwa hiyo hawa half cast wa kiarabu(mzungu na mwarabu mweusi),nyinyi ndio mnawaita waarabu.Wakati muarabu ni yule aliye mweusi,duniani waarabu wa asili,wamebakia wachache,na wapo pia katika kisiwa cha Scotra,nchini Yemen.
 
Pole sana mkuu, Unaweza kuwa Muafrika na pia ukawa muarabu, sasa sijafahamu hoja yako ipo wapi
Na muarabu asili yake ni mweusi.Hao unaowaona weupe,ni babu zao weusi,kuoa watumwa wazungu wa mashariki ya ulaya.
 
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan kaskazini Al Bashir aliambiwa achague kati ya Kuifanya Sudan ni ya wasudani wote (isiyo ongozwa kidini, isiyo ya waarabu tu ya watu wote) au Kuwaacha wasudan kusini ambao walikua si waislam, waafrika.

Lakini yeye alichagua Sudan ya kiislam iwe nchi inayongozwa kwa sheria za kidini, na yenye utambuzi wa kiarabu hivo aliruhusu wasudan kusini wajitenge kuliko kufanya sudani ya wote.

Leo hii sudan haitawaliki imekua failed state.

Mkuu anaongea English inaeleweka ila inachosha aisee
 
Shida wakishajua kutumia majini kila mmoja anajiona mbabe
Al Bashir katawala baadae Sana,watawala wa mwanzo hawakua na mrengo wa dini lakini bado palikua na Vita sudani, mabeberu walinyimwa mafuta yaliyopo kusini,na kusini wengi wakiristo,wakatumia dini kuivuruga Sudan,hata John garang wa Sudan kusini ambaye hakupenda nchi kugawanywa,akauawa kwa ajali ya helicopter
 
Back
Top Bottom