Yu wapi yule Robert Amsterdam Wakili maarufu?

Kamanda acha kutudhalilisha
 
Ndugai huyu huyu aliyepitisha sheria akiwa Spika halafu anashangaa aliipitishaje?
Nduguyai Sasa anaweweseka. Hata Sheria alizopitisha mwenyewe hazijui. Pathetic.
Siku zote nauliza elimu ya nduguyai Ni darasa la ngapi?
 
Mkuu..tena nasikia Chato kuna joto kali sana..nafikiri sababu itakua mzigo una decompose huko chini kisawasawa..
MUNGU AMETUTENDEA MAKUU SANA Watanzania.
Muhimu ni kuwadanganya wasukuma kuwa pale alipofukiwa kuna dalili za dhahabu, mtashangaa wachimbaji wadogo wamevamia na kutupilia mbali kilichohifadhiwa pale
 
Mfufue jiwe kesi ianze bloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…