Kabla ya kuaKukemee uovu ni pia ni kazi ya kiongozi wadini, kama wa kwako hakemei hilo nitatizo lenu
Ule utapeli wanaowafanyia waumini wao kuwavuna pesa ni miujiza feki sio uovu?Kukemee uovu ni pia ni kazi ya kiongozi wadini, kama wa kwako hakemei hilo nitatizo lenu
Kukemea maovu ni jukumu la watu wote,,kinachotutia shaka ni Hawa kina Bagonza,kitima,ghwajima Kila unapokaribia uchaguzi mkuu ndo wanakua machachari kwelikweli,,maana yake ni kuwa wanakuaga na ajenda zao,Kabla ya kua
Ule utapeli wanaowafanyia waumini wao kuwavuna pesa ni miujiza feki sio uovu?
Haya ndiyo mnayoyaweza watanzania.Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Haya sasa, wameyataka watayapataMalikia hatumii sheria siku hizi.
Nondo zinapigwa vichwani kama Padre kitima.
View attachment 3355990
Mzee wako alipoteza Mbegu zake bure kabisa🤣Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Heri wangu kuliko wako aliyekula hasara.Mzee wako alipoteza Mbegu zake bure kabisa🤣
Usimlinganishe barba na Yesu. Gwajima hana ukombozi zaidi ya njaa na unafiki. Kwani yeye ni wa kwanza kulisemea au tunachezewa machezo?Haya ndiyo mnayoyaweza watanzania.
Sishangai kwanini watu wa kale walishangilia yesu aliposulubiwa na hakuwa na kosa lolote
Wewe tueleze maana ya pande zote. Nadhani namaanisha kisiasa na kiimani mbali na kimsimamo hata kimaslahi. Sasa utakuwa umeelewa.Aliyemshambulia psnde zote ni nani?Unaelewa maana ya pande zote?Acha ujingaujinga wewe kimburu.Kaa na ukoo wenu mumjibu Gwajima maswali yake.
Mmemjibu Gwajima?Wewe tueleze maana ya pande zote. Nadhani namaanisha kisiasa na kiimani mbali na kimsimamo hata kimaslahi. Sasa utakuwa umeelewa.
Yuko na maaskopo si maaskofu japo nimeona askofu wa Lutheran akijifanya kumtetea na kumuunga mkono tapeli a kawaida.I am serious, hivi yupo wapi?
Nadhani wakati sahihi ni sasa kama kweli yeye mrume na mkweliatajitokeza kwa wakati sahihi soon...saiv kuna order kutoka juu atafutwe na akamatwe amalizwe ....
Chokoo kama wewe siyo?Ni ***** hilo
Ameufyata. Tuseme ukweli.Hata Yosef na Maria wazazi wa Yesu waliambiwa waondoke haraka maana mtoto Yesu alikuwa hatarini kuuawa katika mikono ya mafilauni.
Kwa hiyo ni haki Gwajima kukaa mafichoni kwa muda akitafakari.
Kwanini wasianze nawe?Wewe nae ilitakiwa ukamatwe then wakufire kwa kutumia msukumio wa chapati
Mkuu ni ngumu sana kuamini ka kwa kwa sasa hata kama ni kweli.!Inasemekana jamaa wamekuta ngada pale Ufufuo