Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Adam malima ndo alikua na makosa gari ipo wrong parking alaf anaambiwa anajibu "unanijua Mimi ni nani"? Hao askari Mimi nawasifu hakuna aliejuu ya sheriaHalafu kuna wale maafande vijana waliokuwa wanatafuta sifa za kijinga kwa kutishia kumpiga risasi Adam Malima.
Nataka nijue wako wapi hivi sasa. Walipandishwa vyeo baada ya tukio lile? Walisimamishwa kazi? Waliondolewa Dar na kupelekwa mikoa mingine?.
Ila kama taifa tulifika pabaya sana, Mungu alifanya vyema kutuondolea yule shetani.