Yuko wapi Henry Kisanduku aliyemnyooshea Nape bastola?

Yuko wapi Henry Kisanduku aliyemnyooshea Nape bastola?

Halafu kuna wale maafande vijana waliokuwa wanatafuta sifa za kijinga kwa kutishia kumpiga risasi Adam Malima.

Nataka nijue wako wapi hivi sasa. Walipandishwa vyeo baada ya tukio lile? Walisimamishwa kazi? Waliondolewa Dar na kupelekwa mikoa mingine?.

Ila kama taifa tulifika pabaya sana, Mungu alifanya vyema kutuondolea yule shetani.
Adam malima ndo alikua na makosa gari ipo wrong parking alaf anaambiwa anajibu "unanijua Mimi ni nani"? Hao askari Mimi nawasifu hakuna aliejuu ya sheria
 
Alafu usalama wa taifa kazi yao siyo kukamata hawana nguvu yeyote ya kisheria inayoruhusu wao kukamata, wenye mamlaka ya kukamata ni polisi, alichokua anafanya huyo kisanduku ni utekaji hawa ndo wakiburuzwa mahakamani wanabaki kusema nilitumwa na mamlaka lakini wanakua tayari wamevunja sheria kama sabaya
 
Yule fala kuna wakati namsamehe ila nikikumbuka yale yaliyotokea kwa watu fulani namwachia Mungu adili nae mtu wake mwenyewe maana alimjua hata kabla hajafanyika tumboni mwa mama yake.
 
Inahitaji akili kubwa kuelewa uhuru, utii na mamlaka ya uteuzi, Kisanduku alikuwa sahihi kbsa.
Yule ni chawa alitetea ugali wake mbele ya beans zake yako wapi sasa wamebaki yatima.Ndo itajulikana alikuwa sahihi au
 
Alafu usalama wa taifa kazi yao siyo kukamata hawana nguvu yeyote ya kisheria inayoruhusu wao kukamata, wenye mamlaka ya kukamata ni polisi, alichokua anafanya huyo kisanduku ni utekaji hawa ndo wakiburuzwa mahakamani wanabaki kusema nilitumwa na mamlaka lakini wanakua tayari wamevunja sheria kama sabaya
Yule ni chawa wa bashite, usalama aliyekula mafunzo utumia akili na sio nguvu
 
Mama akumbuke kwamba 2025 wanaccm wote tuna haki sawa ya kugombea, hana ujanja.

Mwaka 2025 sio mwaka wa kuchapisha form 1 ya urais, ni form kama zote na mimi nachukua.
Najaribu kufikiria. Kuna wanaosema hii bado ni awamu ya 5 part 2 inayomaliziwa na co-pilot (captain ad interim) baada ya captain kuzimika ghafla angani. Polepole anasimamia hoja hii na bado hajafikishwa hukumuni.

Lakini aliyekuwa co-pilot keshatuaminisha kuwa hii ni part 1 ya awamu ya 6 na yeye ndiye captain mpya kamili. Hivyo, 2025 atastahili form 1 ya peke yake kuingia part 2 kama desturi ya CCM inavyotaka.

Baada ya hapo inawezekana wataalamu mahiri wa sheria wakaibuka na nguvu ya hoja kusahihisha kosa “la kikatiba” lililofanyika kwa bahati mbaya na kurejesha ukweli wa Polepole kuwa 2025 ndipo awamu ya 5 inapoishia na part 1 ya awamu ya 6 kuanza.

Wenye chama, “any objection?”

Mkitoa pingamizi nikiwa judge natoa tu kiroho safi: “overruled”!
 
Na yuko wapi Maulid Kitenge aliyemthibiti Kisanduku


Hakuna kitu cha muhimu kwenye maisha kama kujua kwamba kuna kesho na kuelewa kwamba mambo ya leo sio ya kesho.

Kisanduku Kisanduku😆😆
Kisanduku yuko huko huko ndani analinda wengine
 
Pia Nape asingekuwa wazir tena leo kama asingejishusha na kunyenyekea kwa Jiwe siku ile akitembeza huku akirekodiwa jasho likimtoka magogoni. Jiwe angempoteza kabisa na ubunge asingeupata tena.


Those who lose today Will win Tomorrow!
Kwahio unawafundisha vijana / watoto wa leo kunyenyekea na kutokusimamia msimamo wao ili kesho au keshokutwa wapate maslahi (kumbuka uwaziri ni maslahi na sio the ultimate prize) huenda kusimamia unachokiamini na kuwa na msimamo bila kuyumbayumba (flip flopper) kwa mtu binafsi its a prize worth more than kuwa kiongozi (usiyefuata msimamo / unachokiamini)

I had rather die like a Man than live like a Coward.... 2Pac

Sisemi kwamba mtu usi-buy time na kupigana a loosing battle (Sun Wu angeniona mpuuzi ningesema hivyo) ila sio kujiunga na watu kinafiki na kuunga juhudi ili tu upate umatemate
 
Una matatizo si bure, ni ajabu sana mwanamme aliyekamilika kumuuliza mwanamme mwenzake. Maghayo una shida gani huko kichwani mwako.
 
Jamaa yupo makumbusho anaendelea na majukumu yake
 
Back
Top Bottom