The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
- Thread starter
-
- #101
Aiseeee kumbe D ni mdada, haya mambo yakutoangaliaa Profile unaweza muita mdada kaka ukatumiwa radi buree[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakaza balaa mchizi wangu
Basi tubaki Na nyie tu
Kwahiyo kama hautaki mwanaume mwema maana yake unataka wa aina gani?! Aiseeee sasa naelewa kwann wazazi zamani walikuwa wanapoint wanaume wa kuoa binti zao maana akili zenu mnajua wenyewe. Halafu huko ulikokwenda ukizinguliwa unaanza mapambio kuita wanaume wote mbwa kumbe unasahau mbwa huwa zinatafuta mbwa wenzao. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Fungu nililopata ni mara kumi zaidi ya hiyo, Basi tu roho yangu iliona simfai kuwa nae. Kuna wanaume ni wema mpaka unahisi umekutana na malaika.
😂😂😂, Kuna comment nimeelezea kwa urefu kidogo, ni story ndefu kiasi ila mwisho wake ndo huo, sio dhambi kumkatalia mwanaume, kuishi na mtu kwa huruma sio mapenzi kuna gharama yake na sina tabia za kitoto eti kutendwa nikaita wanaume wote mbwa huwa napambana na langu sipendi kumpa lawama asiehusika na matatizo yangu, zipo nyakati nilianguka nilikosea lkn nilisimama kulipia gharama za makosa yangu pasipo kumkera mtu, Nina amani na maamuzi yangu kwahiyo tulizana broKwahiyo kama hautaki mwanaume mwema maana yake unataka wa aina gani?! Aiseeee sasa naelewa kwann wazazi zamani walikuwa wanapoint wanaume wa kuoa binti zao maana akili zenu mnajua wenyewe. Halafu huko ulikokwenda ukizinguliwa unaanza mapambio kuita wanaume wote mbwa kumbe unasahau mbwa huwa zinatafuta mbwa wenzao. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Umenikera kama uwe karibu nikulabue mambata ya mgongoni matano nijisikie vizuri. Msyuuuuuuuu
Mie nimekataa wengi tu. Sababu ni kuwa mie napenda warembo sana. Ila huwa mwisho wa siku wanajiona sana na sio wachapa kazi na wanatumia $$ kwa fujo. Hivyo Nawapiga chini. Wa kwanza kumkataa, NI YEYE ALINIKATAA KWANZA. Nilimpenda sana tokea na miaka 18 Nikamweleza penzi langu kwake.. ila akanikataa.Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku.
😂😂😂 ulikuwa unajua ni mkaka?Aiseeee kumbe D ni mdada, haya mambo yakutoangaliaa Profile unaweza muita mdada kaka ukatumiwa radi buree
Ahaahaah coincidence [emoji28][emoji28]Nipo nasoma huu uzi nashangaa na sms yake ya kunisalimia inaingia muda huu. Ni miaka 8 sasa imepita.
Naomba niku dedicate wimbo wa Beyonce - I wish u were my first love[emoji23][emoji23][emoji23], Kuna comment nimeelezea kwa urefu kidogo, ni story ndefu kiasi ila mwisho wake ndo huo, sio dhambi kumkatalia mwanaume, kuishi na mtu kwa huruma sio mapenzi kuna gharama yake na sina tabia za kitoto eti kutendwa nikaita wanaume wote mbwa huwa napambana na langu sipendi kumpa lawama asiehusika na matatizo yangu, zipo nyakati nilianguka nilikosea lkn nilisimama kulipia gharama za makosa yangu pasipo kumkera mtu, Nina amani na maamuzi yangu kwahiyo tulizana bro
Ndiyo aiseee ikabidi nizoom hiyoo picha na kufatiliaa comments zako[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] ulikuwa unajua ni mkaka?
Asante, nitausikilizaNaomba niku dedicate wimbo wa Beyonce - I wish u were my first love
ThanksAsante, nitausikiliza
Hujammiss miss [emoji23][emoji23]alivokuwa anakusumbua sumbua inboxNi mwanajeshi sasa
Inaonekana roho ilokuuma sanaWivu wa Nini hapo na wewe D, sina utoto huo, saiv kakalia kiti teule itakuwa kampata wa kupendana nae, sijawasiliana nae muda mrefu tangu nimpongeze na uteuzi basi sijamtafutaga tena
Ni maono yako mkuu fikiria kadri ya uwezo wako siko hapa kujielezea kwakoInaonekana roho ilokuuma sana
Utapata mwingne usjali"Ni maono yako mkuu fikiria kadri ya uwezo wako siko hapa kujielezea kwako
NimeshampataUtapata mwingne usjali"
Na ye alilamba teuziNimeshampata
Hapana,Na ye alilamba teuzi