Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Ana swaga za kichungaji sana,, ningechepuka

Baadhi ya wanawake tunapenda kuolewa na wanaume wenye uzoefu na wanawake(k) aina hiyo wanajua kuwa waume wazuri ndani na huyo hakuwa hivyo....... nikachora

We mwanamke,,, Wachungaji tuna shida gani..? Mnatuchanganya ujue..
 
Miaka.kama.15 nilimpenda sana mdada mmoja wa kinyakusa na nilikuwa tayari kumuoa lakini alinisumbua sana mpaka nikaamua kuachana nae.

Hivi karibuni naona namba ngeni, kuuliza kumbe ni yeye. Basi akawa.anaendelea kunipigia. Ila nimekija kugundua tayari kazalishwa watoto wawili baba tofauti.
 
Wapo kama watatu hivi, ila kuna huyu mmoja aliamua kuniacha kwasababu alizojua mwenyewe.

After that akanimute whatsapp ili nisione status zake, soon after akaniblock kabisa. Sikureact kivyovyote, nikavunga. Kuna mdogo wangu mmoja wa kiume ndio akawa ananiambia, huyu jamaa aliyepostiwa na fulani ndio bwana wake mpya? Nikawa na mjibu, yawezekana ndio huyo (sikutaka kumwambia dogo kuwa demu aliniblock wala sio i status zake).

Baada ya miezi 5, dogo ananiambia "Shem (yule demu) siku hizi naona anaweka status za ushauri na majonzi, vipi amezinguana na jamaa yake? Me nikawa najibu kuwa sina uhakika.

Kuna siku akanitext kwa nomo msg, nikareply vizuri tu, hatukuchat sana zaidi ya salamu. Siku nyingine akanipigia cm kwa namba ngeni ila sikupokea, kwenye kuchat ndo akajitambulisha kuwa ni yeye alikuwa ananisalimia tu. Ghafla from nowhere nikaanza kuona status zake ( inaonekana aliamua kuni unblock). Nikawa nazikaushia, then nikaweka ile setting kwamba nikiview status zake tu, isioneshe kama nimeview. Nilipoona dalili zinaonesha kuwa mahusiano yake mapya yamezingua, nikaamua kumblock kote na kufuta namba yake rasmi. Binafsi naamini sikuletwa kwenye hii dunia kuliwaza watu wasionijali.

From that day, sijawahi kujua alipo au anaendeleaje. Hata mdogo wangu nae alipotezaga simu, so hajui chochote kuhusu yeye.
Mzee una moyo sana yan miez mitano yote unatunza namba ya X wako? Mm demu nkiachana nae saa 4 kamili basi kufika saa 4 na sekunde tatu nshafuta namba zake zoteeee.
 
Mimi huwa nawatongoza wanawake wanaoonekana wanaheshima/watu wa dini lengo langu ni kumpata bikra nitakae mpenda sana.

Lakin bahati mbaya Licha ya muonekano wao wa kidini sijawahi kubahatisha bikra ila Nina bahati ya kuwa wao huwa wananipenda sana lakin ninawaacha kikatili kwakua moyo wangu unahisi tayari Wana watu wao waliokwisha kupendana kabla ya uwepo wangu

Ninawaacha na kuendelea na safari yangu ya kutafuta mwanamke ambae Mimi ndo nitakua mpenzi wake wa kwanza

Hivyo katika hao nilio achana nao mimi upendo wangu unafutika na sibakizi hata chembe ya upendo wangu juu yao, nafanya haya yote kwa kuzingatia husia huu "Owa mwanamke unae mpenda na usioe mwanamke kwa kumuonea huruma"
Ukioa kwa kumwonea huruma ipo sku huruma itaisha hapo ndo unakuta hata akifanya kosa dogo tu unamfokea balaa.

Pia wengne wanasema "oa mwanamke anaekupenda na sio unaempenda" sa cjui hii inawezekanaje

Lakn pia ndugu Jokajeusi anasema "oa bikra" sjui tukikosa hawa wenye bikra tutafanyje

Bila kumsahau Liverpool VPN anasema "vijana msioe" [emoji3][emoji3]
 
Dada hivi umechange dp yako siyo????
Hv nyie mnapata wapi ujasiri wa kumuita mtu dada humu JF? Ktu ambacho hamjui, zaidi ya asilimia hamsini ya ID za kike humu ni za wanaume. Unakuta jtu linajiita jenny kumbe ni limwanaume.
 
Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku.

Bila kupoteza muda, katika maisha kuna kipindi tunajikuta tunapendwa na wenzetu wa jinsia tofauti, hivyo wanatumia approaches mbalimbali kuweza kutupata. Lakini, yote ya yote tunaishia kuwachomolea mbali kwa sababu ambazo zinaweza kuwa ni kuwa kwenye mahusiano kwa wakati huo, kutokuwa tayari kuwa kwenye mahusiano, KUTOKUKUBALIWA tu jinsi ulivyo etc.

Je, yule mtu aliyekuwa anakusumbua kwa wakati huo anakupenda na anahitaji uwe mpenzi wake yukowapi/ alienda wapi, je bado anafanya attempts hadi sasa au ndo kila lenye marefu na mapana halikosi ncha.

Kwa upande wangu,
Wa kwanza,
Miezi kadhaa nilitokea kupendwa na mdada ambaye tulikuwa tukisoma chuo kimoja, mie nlimchukulia kama rafiki lakini ye kwangu aliniona ni zaidi ya rafiki, kwakuwa sikutaka kumuumiza ilibidi nimuambie nina mke na mtoto hivyo acheki ustaarabu sehemu nyingine.

Mwishowe, kutokana na kumkataa kinamna hiyo akafuta namba yangu since then hakuna chocho yeyote ya chuoni ambayo nlikuja kumuona, since mwezi wa tano hadi namaliza muhula wa pili sikuwahi ing`aza sura yake popote wakati ilikuwa ni mara nyingi tunakutana cafeteria na madarasani.

Wa pili,
Huyu alikuwa ni muuza chispi mtaani kwetu, alikuwa akija kuomba chenji dukani kwetu, namba yangu nliichukua kimasihara tu tukawa tukiwasiliana siku hadi siku, mwishowe akaanza leta nyeusi ,tukashindwana anakanipiga chini mazima, tangu mwaka jana mwezi wa kumi na moja sijawahi kumuona na pale kijiweni kwake hayupo na sms zangu huwa hazifiki.

Wa tatu,
Huyu alikuwa anaitwa Mary, mdada mpole black beauty wa Mbeya, tulikutana advance minikiwa darasa moja mbele yake. Tulifamiana kupitia UKWATA nikiwa mdau mzuri wa maombi na tukaja soma wote tena Central Zone Chuo, alikuja kuanza kuleta habari za kwenda kutambulishana kwetu na kugandana gandana kama kupe. Akaja nipiga chini 2019 February majira ya saa 6 na madakika usiku. Hadi leo sijui yukowapi na sijawahi kumuona tena.

JE, uko tayari kumpa chance kama akija na kutaka aendelee alipoishia????

NB:
Hizo ni baadhi tu nami kuna ambao niliwataka na kufanya kila mbinu ila sijawahi kuwa nao.
Nimetumia lugha isio rasmi kwa wale walimu wa viswahili mtaniwia radhi.

TUPIGE KAZI, TUTAFUTE PESA!!!!!!
Mhhhhh swali gumu[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Daah hii imenikumbusha J wangu miaka hiyo....

Huyu dada nilimpenda sana na alilijua hilo hilo hakuwahi nikubalia nilianza kumtongoza toka nikiwa Form four ye akiwa form one,alinigomea kabisa japo tulikuwa tunakutana tunakiss na nini ila mbususu aligoma kabisa ....

Basi bhana baada ya miaka 6 kupita akaja nichek kipindi hicho niko mkoa x kikazi na nishakuwa na familia tayari akaniambia yupo mkoa X niende anitunuku mbususu kama zawadi ya upendo niliomuonesha..mzee mzima nikaamua kuchepuka for the first time asee nilikula hiyo mbususu three days,yan ni kupika kupakua plus mbususu kiufupi nilivushwa maana nilikuwa gheto kwake....

Baada ya hapo niliporudi kazini hatukuwah kuonana tena mpaka leo na sijui yupo wapi binti mlokole J wangu dah [emoji24]

Popote ulipo niite basi tena J nimemiss show yako
Uhuru wote huu bado mnadai Katiba Mpya???
 
Woooote wameelezea ila wewe mkuu umetisha wasichana wanajifanyaga wana maamuzi mazur ila hujutiaga baadae
Kwenye mahusiano ukiwa na mtu kwavile unamuonea huruma, mbeleni wewe ndio utatumia zaidi na hakuna wa kukuonea huruma
 
Johary bana, hakuwa msichana wa kwanza kwangu ila moyo uliegemea sana kwake na hayupo nitakaempenda kama Johary.

Utoto wetu kipindi iko sikuwahi kumpa hata senti kumbe mwenzangu mbali na utoto ila aliijua hela mapema, akampata mshikaji fulani akampa mimba ikiwa bado yupo shule , kidato cha tatu.

Akakimbia mji yeye na bwana ake , direct to arusha, nikapiga kifua nikamsahau kabisa nikaanza kwenda kwa wale wa cash , kipindi anaondoka niliishia kupata busu tu ila mbususu sikufanikiwa kabisa.

Nikiwa chuo , mwaka wa pili , aliomba namba zangu mpya kwa wana akaanza kunicheki mara oooh nipo arusha kimwili ila moyo Uko kwako bado nakupenda sana jpo nilikusaliti kisa hela.

Kidume nikawa namchora ila namuambia poa mimi nipo kwaajili yako, siku ukija dar basi tuonane.
Ikawa ni hivyo mara bwana ake akajagundua na akanipigia simu na kunipiga mikwara mingi.
Dah nikamchana sana kuwa aliniibia mali yangu ila fresh, Mimi nishamuachia, ikawa charting zetu ni nadra sana.

Baada ya siku na majuma kadhaa akaja kuniambia ameondoka kwa bwana ake hivyo yuko free kuwa na mimi , anahitaji nitume nauli aje dar , tuishi wote ilihali ana mtoto, kidume nikawa nampanga daily.

Mara akasema kapata kazi anakuja dar hivyo tutakuwa tunaonana sana na pia atabaki kuwa mpenzi wangu ila siku nikiwa tayari nimuoe

Niko zangu chuo , ananipigia simu yuko kawe niende tuonane, naenda namkuta bar ya LAROCA pale kawe , yeye ni muhudumu.

Dah niliumia sana , nikaagiza misosi tukala but Demu kawa kisu hatari ila ni mlevi hatari , mida ya night nikachukua room kwa mara ya kwanza nikamla niliyempenda sana , mornie nikarudi magetoni ila kwenye purukushani za pale bar, nilikuja kujua anajiuza pia.

Ikawa si kesi tukaendelea kulana sana mpaka nikamvuta geto mazima hapo mtoto alimwachia dada yake arusha.

Mara akaanza kusema nimtafutie kazi nzuri, kidume nilitumia sana hela kuhonga sehemu apate kazi akapata, jioni narudi namuambia kuna kaxi imepatikana hivyo kesho unahitajika nikupeleke mambo mengine yaendelee , Demu akadai ashaghairi amepata kaxi arusha hivyo nimpe nauli arudi arusha.

Niliumia tena sema nikampa nauli na alipoondoka nikaja jua alimfuata bwana ake mwengine merelani hivyo nikafuta namba na block juu

Ila namkumbuka malaya yule alikuwa anajua kunako sita kwa sita, naambiwaga ananitafuta sana ila ndiyo hvyo nilishamsahau .

Johary , uliniongezea nguvu ya kununua wadada sana , pole kwa ugumu unaopitia mimi sikupendi tena labda nikununue maana yupo ninayempenda sasa.[emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hv nyie mnapata wapi ujasiri wa kumuita mtu dada humu JF? Ktu ambacho hamjui, zaidi ya asilimia hamsini ya ID za kike humu ni za wanaume. Unakuta jtu linajiita jenny kumbe ni limwanaume.
Namuita kutokana na ID yake ilivo sio kama Cocastic hajulikani ni ke au me
 
Johary bana, hakuwa msichana wa kwanza kwangu ila moyo uliegemea sana kwake na hayupo nitakaempenda kama Johary.

Utoto wetu kipindi iko sikuwahi kumpa hata senti kumbe mwenzangu mbali na utoto ila aliijua hela mapema, akampata mshikaji fulani akampa mimba ikiwa bado yupo shule , kidato cha tatu.

Akakimbia mji yeye na bwana ake , direct to arusha, nikapiga kifua nikamsahau kabisa nikaanza kwenda kwa wale wa cash , kipindi anaondoka niliishia kupata busu tu ila mbususu sikufanikiwa kabisa.

Nikiwa chuo , mwaka wa pili , aliomba namba zangu mpya kwa wana akaanza kunicheki mara oooh nipo arusha kimwili ila moyo Uko kwako bado nakupenda sana jpo nilikusaliti kisa hela.

Kidume nikawa namchora ila namuambia poa mimi nipo kwaajili yako, siku ukija dar basi tuonane.
Ikawa ni hivyo mara bwana ake akajagundua na akanipigia simu na kunipiga mikwara mingi.
Dah nikamchana sana kuwa aliniibia mali yangu ila fresh, Mimi nishamuachia, ikawa charting zetu ni nadra sana.

Baada ya siku na majuma kadhaa akaja kuniambia ameondoka kwa bwana ake hivyo yuko free kuwa na mimi , anahitaji nitume nauli aje dar , tuishi wote ilihali ana mtoto, kidume nikawa nampanga daily.

Mara akasema kapata kazi anakuja dar hivyo tutakuwa tunaonana sana na pia atabaki kuwa mpenzi wangu ila siku nikiwa tayari nimuoe

Niko zangu chuo , ananipigia simu yuko kawe niende tuonane, naenda namkuta bar ya LAROCA pale kawe , yeye ni muhudumu.

Dah niliumia sana , nikaagiza misosi tukala but Demu kawa kisu hatari ila ni mlevi hatari , mida ya night nikachukua room kwa mara ya kwanza nikamla niliyempenda sana , mornie nikarudi magetoni ila kwenye purukushani za pale bar, nilikuja kujua anajiuza pia.

Ikawa si kesi tukaendelea kulana sana mpaka nikamvuta geto mazima hapo mtoto alimwachia dada yake arusha.

Mara akaanza kusema nimtafutie kazi nzuri, kidume nilitumia sana hela kuhonga sehemu apate kazi akapata, jioni narudi namuambia kuna kaxi imepatikana hivyo kesho unahitajika nikupeleke mambo mengine yaendelee , Demu akadai ashaghairi amepata kaxi arusha hivyo nimpe nauli arudi arusha.

Niliumia tena sema nikampa nauli na alipoondoka nikaja jua alimfuata bwana ake mwengine merelani hivyo nikafuta namba na block juu

Ila namkumbuka malaya yule alikuwa anajua kunako sita kwa sita, naambiwaga ananitafuta sana ila ndiyo hvyo nilishamsahau .

Johary , uliniongezea nguvu ya kununua wadada sana , pole kwa ugumu unaopitia mimi sikupendi tena labda nikununue maana yupo ninayempenda sasa.[emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Haya mambo ni zaidi ya betting [emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom