Johary bana, hakuwa msichana wa kwanza kwangu ila moyo uliegemea sana kwake na hayupo nitakaempenda kama Johary.
Utoto wetu kipindi iko sikuwahi kumpa hata senti kumbe mwenzangu mbali na utoto ila aliijua hela mapema, akampata mshikaji fulani akampa mimba ikiwa bado yupo shule , kidato cha tatu.
Akakimbia mji yeye na bwana ake , direct to arusha, nikapiga kifua nikamsahau kabisa nikaanza kwenda kwa wale wa cash , kipindi anaondoka niliishia kupata busu tu ila mbususu sikufanikiwa kabisa.
Nikiwa chuo , mwaka wa pili , aliomba namba zangu mpya kwa wana akaanza kunicheki mara oooh nipo arusha kimwili ila moyo Uko kwako bado nakupenda sana jpo nilikusaliti kisa hela.
Kidume nikawa namchora ila namuambia poa mimi nipo kwaajili yako, siku ukija dar basi tuonane.
Ikawa ni hivyo mara bwana ake akajagundua na akanipigia simu na kunipiga mikwara mingi.
Dah nikamchana sana kuwa aliniibia mali yangu ila fresh, Mimi nishamuachia, ikawa charting zetu ni nadra sana.
Baada ya siku na majuma kadhaa akaja kuniambia ameondoka kwa bwana ake hivyo yuko free kuwa na mimi , anahitaji nitume nauli aje dar , tuishi wote ilihali ana mtoto, kidume nikawa nampanga daily.
Mara akasema kapata kazi anakuja dar hivyo tutakuwa tunaonana sana na pia atabaki kuwa mpenzi wangu ila siku nikiwa tayari nimuoe
Niko zangu chuo , ananipigia simu yuko kawe niende tuonane, naenda namkuta bar ya LAROCA pale kawe , yeye ni muhudumu.
Dah niliumia sana , nikaagiza misosi tukala but Demu kawa kisu hatari ila ni mlevi hatari , mida ya night nikachukua room kwa mara ya kwanza nikamla niliyempenda sana , mornie nikarudi magetoni ila kwenye purukushani za pale bar, nilikuja kujua anajiuza pia.
Ikawa si kesi tukaendelea kulana sana mpaka nikamvuta geto mazima hapo mtoto alimwachia dada yake arusha.
Mara akaanza kusema nimtafutie kazi nzuri, kidume nilitumia sana hela kuhonga sehemu apate kazi akapata, jioni narudi namuambia kuna kaxi imepatikana hivyo kesho unahitajika nikupeleke mambo mengine yaendelee , Demu akadai ashaghairi amepata kaxi arusha hivyo nimpe nauli arudi arusha.
Niliumia tena sema nikampa nauli na alipoondoka nikaja jua alimfuata bwana ake mwengine merelani hivyo nikafuta namba na block juu
Ila namkumbuka malaya yule alikuwa anajua kunako sita kwa sita, naambiwaga ananitafuta sana ila ndiyo hvyo nilishamsahau .
Johary , uliniongezea nguvu ya kununua wadada sana , pole kwa ugumu unaopitia mimi sikupendi tena labda nikununue maana yupo ninayempenda sasa.[emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-J410F using
JamiiForums mobile app