Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

PAKA akitaka kuacha legacy poa ampe mwanae Urais akiwa hai. Akifa ghafla leo kuna uwezekano mkubwa wanae na familia yake wanapigwa pini. Maana watu wana tabia ya kufanya kweli pale ambapo waliyekuwa wanafanyia unafiki amefariki.
 
Makampuni mengi ya kinyarwanda yatakufa Yyusa,Nesa,Kamuru,Ben,Nine United Traders,Limoz,Petrocom nk kwani yanaendeshwa kwa mgongo wa PK
 
Waafrika bhana! Huyu mwamba alikuwa akisema wazungu hawana Cha kumtishia ila kaenda kulazwa kwao! Hawatampa nafasi ya kuwasumbua Tena!
 
PAKA akitaka kuacha legacy poa ampe mwanae Urais akiwa hai. Akifa ghafla leo kuna uwezekano mkubwa wanae na familia yake wanapigwa pini. Maana watu wana tabia ya kufanya kweli pale ambapo waliyekuwa wanafanyia unafiki amefariki.
Ndio kitakacho tokea, Yani the moment to anavuta hio first family ikimbie nchi haraka sana, otherwise political rivals wake wataipa adhabu kali sana ni kama yule mtoto mlevi wa mseveni leo mzee wake akidondoka ghafla lazima dogo alambe sana mchanga
 
Kama amekwenda kule "alikotanguliza wenzie" ni jambo la kheri sana ili akaanze kutumikia adhabu yake jehenam.
 
Kama amekwenda kule "alikotanguliza wenzie" ni jambo la kheri sana ili akaanze kutumikia adhabu yake katika lile ziwa liwakalo moto
 
Maisha nayo ni ubatili mtupu, unakazaaa we unadhani utaishi milele, sijui kama kandaa mrithi huyu.
 
Makampuni mengi ya kinyarwanda yatakufa Yyusa,Nesa,Kamuru,Ben,Nine United Traders,Limoz,Petrocom nk kwani yanaendeshwa kwa mgongo wa PK
Bila kusahau M23.
Mkuu uwe unawekaspacepanapostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…