Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

Hata kama akifa, aliituliza rwanda sana tangu mauji ya kimbari huyo mjoba alituliza mambo ya kishenzi rwanda. Yupo wa kufanana naye au ndio tena vurugu za kishenzi zitaanza?
 
Muwahi atubu kwa Muumba wetu!
 
Kimfumo upo vzr ukusanyaji taarifa frani zenye maslahi mapana kwa unakotumika! Ni ngumu kukimbia kimvuli chako!
 
Kigali Rwanda then tutaenda Bujumbura Burundi then tutaenda kivu kaskazini.

Then tutarud Tanzania.
Pia tutaenda kufanya utalii kwenye milima ya virunga kule kongo, pia tutaenda pale Burundi Kwa Evarist Ndayishimiye naye atatupeleka kwenye kaburi la Piere Nkuruzinza Ili timwombee.
 
Pia tutaenda kufanya utalii kwenye milima ya virunga kule kongo, pia tutaenda pale Burundi Kwa Evarist Ndayishimiye naye atatupeleka kwenye kaburi la Piere Nkuruzinza Ili timwombee.
Bila kusahau Mlima Goma, haswa, ni mahali pazuri pa kusimama ni kuona sehemu kubwa ya magharibi mwa jiji....
 
Kifo Cha Patrick karegeya kiliniumiza sana aiseh,halafu kayumba nyamwasah nae!!?aiseh!!
Jenerali Kayumba Nyamwasa hajafa pamoja na huyo dikteta Kagame kumuwinda sana ila Patrick Karegeya ndio alifanikiwa kumuua nchini Afrika Kusini.

Kagame alikuwa ni mtu mmoja wa hovyo sana na kama ikitokea amelamba mchanga itakuwa ni neema kubwa sana kwa wanyarwanda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…