chief_
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 830
- 1,395
Achana na hii ya mwisho .. nazungumzia akiwa anatumikia... Labda ulikua bado mdogo sana...Hata sikumbuki, ila hawawezi kuwa sawa. Mmoja alikuwa mstaafu, mwingine ndiye.
Basi tezi ya jk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na hii ya mwisho .. nazungumzia akiwa anatumikia... Labda ulikua bado mdogo sana...Hata sikumbuki, ila hawawezi kuwa sawa. Mmoja alikuwa mstaafu, mwingine ndiye.
Walikuonyesha kadi za hivyo vyama vya upinzani? Nyie kila anayehoji kitu mnasema ni mpinzani. kwani kuna shida gani kusema mzee ana mafua kidogo yupo na dozi ya kujifukiza. Kwani kuna shida?Wapinzani wa bongo raha sana,ukiwakuta wanavyolalamika sasa mara sijui wanauliwa mara vile mara vile. Ila hao watu wenyewe sasa wanaolalamika ndio kwanza wapo busy kuzushia watu maradhi na vifo yani ndio mambo ya msingi kwao.
Kwa hiyo ni kweli mgonjwa?Swala la ugonjwa wa mtu lisiwe jambo la kushadadia jamani, this is sad.
Kwani lazima afanye hivyo?Habari yako inaweza kuwa njema ila tunaomba basi mtajwa ajitokeze awakate kidomo-domo
Ni lazima lakini sio lazima sanaKwani lazima afanye hivyo?
Kule korea mlipodandia yasiyowahusu kuhusu Kim nani alijitokeza kuwajibu?Ni lazima lakini sio lazima sana
Tukipinga mnataka tusubiri muda mbona hamkuusubiri mlipozusha?Ngoja muda utaongea
Juzi wakasema Sabaya alipojitokeza hayaoni aibu wala hayachoki kuzushaUfipa kila wanalotamani linabumaga,mipango yao uwa inafeli mapema sana.