Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Hata sikumbuki, ila hawawezi kuwa sawa. Mmoja alikuwa mstaafu, mwingine ndiye.
Achana na hii ya mwisho .. nazungumzia akiwa anatumikia... Labda ulikua bado mdogo sana...

Basi tezi ya jk
 
Toa mfano wa mambo wasemayo ambayo "hayana umuhimu kwa Taifa". Unajua kuona hili ni la muhimu na hili si la muhimu ni VERY SUBJECTIVE.

Hivyo msemaji yoyote yule anao uamuzi wa kusema lolote ambalo yeye anaona "ni la muhimu". Kama huyu alieleta hili la Rais "KUUMWA" yeye kaona ni la muhimu kwake. Hivyo ndivyo hali ilivyo!
 
Wapinzani wa bongo raha sana,ukiwakuta wanavyolalamika sasa mara sijui wanauliwa mara vile mara vile. Ila hao watu wenyewe sasa wanaolalamika ndio kwanza wapo busy kuzushia watu maradhi na vifo yani ndio mambo ya msingi kwao.
Walikuonyesha kadi za hivyo vyama vya upinzani? Nyie kila anayehoji kitu mnasema ni mpinzani. kwani kuna shida gani kusema mzee ana mafua kidogo yupo na dozi ya kujifukiza. Kwani kuna shida?
 
Kuna kitu kenya wanatengeneza. Kwanza kupoteza watu kwenye issue ya mahindi maana mipango yao imebuma. Wametumia huu uongo kuibadilisha hoja ya newspaper zao na kuleta ya Magufuli.

La pili. Wamepata chanjo yao week hii. Lakini nasikia mambo sio mazuri. Kuna wanao poteza maisha na Kuna waliogoma kuchoma.

Sasa wakiudanfanya uma wa kenya kwamba Magufuli yupo hospital pale kenya.

Wakenya wengi wanaomfuatilia Magufuli na msimamo wake. Watabadilisha mawazo yao.

Na kukimbilia vituo vya chanjo. MAANA KUNA WAKENYA WENGI NASIKIA WANASEMA. WAO HAWACHOMI CHANJO KAMA TANZANIA [emoji1241] haichomi. Maana wanamuona Magufuli kama ndio inspiration [emoji813].

Na hii inaiumiza serikali yao ya kenya. Maana wanashindwa kufanya mambo ya msingi. Kwakua baadhi ya wananchi wao. WANAONGOZWA NA RAIS WA TANZANIA
 
Habari yako inaweza kuwa njema ila tunaomba basi mtajwa ajitokeze awakate kidomo-domo. Itatusaidia,tunaweza kuwa tunaelekeza maombi sehemu isiyo sahihi
 
Tokea mwanzoni mwa wiki hii pamekuwepo uvumi kuwa Rais JPM ni mgonjwa. Bahati mbaya sana, pamoja na matetesi hayo kupitia mitandao ya kijamii, serikali imenyamaza kimya pasipo kukanusha au kukubaliana na uvumi huo.

Japo serikali hailazimiki kuibuka na kujibu kila kitu kinachojadiliwa kwenye mitandao ya kijamii, lakini kutokana na unyeti wa Ofisi ya Rais, pana haja ya serikali kujitokeza kupitia msemaji wa serikali au Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu kusema neno.

Ukimya wa serikali si afya kwa utulivu wa jamii kwani Watanzania wana haki ya kuelezwa ukweli kuhusu Rais wao. Tabia ya kunyamazia uvumi inatoa mwanya kwa watu kusadikishwa mambo yasiyo na ukweli na hivyo kusababisha taharuki isiyo na msingi.
 
Ufipa kila wanalotamani linabumaga,mipango yao uwa inafeli mapema sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom