Mkuu wewe si umeingia humu juzi kati tu?Tukipinga mnataka tusubiri muda mbona hamkuusubiri mlipozusha?
Vipi na yeye upepo wa kisurisuri umempitia nn?Watuambie alipo na Spika wetu mpendwa Job Ndugai.
Yapata mwezi sasa hajaonekana.
Apone, ila akirudi aiheshimu COVID si ya kuchezea !! haiogopi kufanya maajabu !!Kama mpendwa wetu JPM anaumwa,tupo tunamuombea in shaa Allah atapona.
There is something very serious that should not be taken lightly. Especially when we are talking about the health of our President. Our Country should refute this allegation right away.
Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?....
Barabara za masimango kama vile kajenga kwa hela za mamake, wakati ni kodi zetu. Aende tu kumsalimia Nyerere, barabara tutajenga wenyewe.
Spin doctors wa kenya awamu hii imewatoa jasho.Kuna kitu kenya wanatengeneza. Kwanza kupoteza watu kwenye issue ya mahindi maana mipango yao imebuma. Wametumia huu uongo kuibadilisha hoja ya newspaper zao na kuleta ya Magufuli...
Mkuu ile mi convoy jammer na mitutu haina uwezo wa kumkinga meko na kirusi kisichoonekana ndo maana vimepenya kiulaini kabisa...Anaumwaje mkuu? Kwani lile li convoy jammer na mitutu ile imeshindwa kuzuia mashambulizi?
Hii ni serious issue yupoMwaka jana mlisema kakimbizwa German ghafla, iliishia wapi ile story?