Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Kila nikikumbuka kuna wapuuzi walisema amepelekwa South Africa napo hajafua dafu akakimbizwa haraka Ujerumani huwa nabaki tu kusema kweli wabongo huwa wana yao, maana lengo lao mtu kila siku ajipost sijui,.. vinginevyo anazushiwa kifo...nachojua kila binadamu huwa anaumwa, hivyo hata akiumwa leo sishangai kwani ni kawaida ya binadamu.
Falsafa na nadharia ya kuamini utaishi milele duniani ni mbaya sana hali sote ni wapangaji.
 
Ccm inaamini tume ni huru, chadema wanaamini siyo huru!

Tumieni muda huu basi kushinikiza iwe huru, nyie mmekazana na ujinga

Kuna watu hivi sasa wanaroga ili mambo yaangukie upande wao...njaa mbaya
 
Watu wengi wa wapi? Hawa ni wajinga wa CHADEMA,ndio hao hao kila siku wanalialia humu
 
SINAGA DINI MIMI.....

Nimeandaa mbuzi mmoja mtekeee mchele wa kutosha na vinyaji

Nasubiria kwa hamu kweli habari NJEMA kudadeki

In this World some people they have to learn in hard way
 
SINAGA DINI MIMI.....

Nimeandaa mbuzi mmoja mtekeee mchele wa kutosha na vinyaji

Nasubiria kwa hamu kweli habari NJEMA kudadeki

In this World some people they have to learn in hard way
unaweza utumia kulisha waombolezaji nyumbani kwako.

maisha sio vile unapenda yawe.
 
Angalia usije kuwa umejiandalia mahitaji wa msiba wako ndugu, Nakukumbusha tu
SINAGA DINI MIMI.....

Nimeandaa mbuzi mmoja mtekeee mchele wa kutosha na vinyaji

Nasubiria kwa hamu kweli habari NJEMA kudadeki

In this World some people they have to learn in hard way
 
Watu wana akil za kipuuzi kwani kuumwa ni kosa kwani yeye sio binadamu, ni upuuz tu tufanye kazi.
 
I co-sign!

Ila nadhani hata yeye anachangia kwenye haya mambo ya ficha ficha.
FB_IMG_1615362150772.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom