Falsafa na nadharia ya kuamini utaishi milele duniani ni mbaya sana hali sote ni wapangaji.Kila nikikumbuka kuna wapuuzi walisema amepelekwa South Africa napo hajafua dafu akakimbizwa haraka Ujerumani huwa nabaki tu kusema kweli wabongo huwa wana yao, maana lengo lao mtu kila siku ajipost sijui,.. vinginevyo anazushiwa kifo...nachojua kila binadamu huwa anaumwa, hivyo hata akiumwa leo sishangai kwani ni kawaida ya binadamu.