Falsafa na nadharia ya kuamini utaishi milele duniani ni mbaya sana hali sote ni wapangaji.Kila nikikumbuka kuna wapuuzi walisema amepelekwa South Africa napo hajafua dafu akakimbizwa haraka Ujerumani huwa nabaki tu kusema kweli wabongo huwa wana yao, maana lengo lao mtu kila siku ajipost sijui,.. vinginevyo anazushiwa kifo...nachojua kila binadamu huwa anaumwa, hivyo hata akiumwa leo sishangai kwani ni kawaida ya binadamu.
Ccm inaamini tume ni huru, chadema wanaamini siyo huru!
Tumieni muda huu basi kushinikiza iwe huru, nyie mmekazana na ujinga
Kumbe hata Lissu Kuna watu walifurahi? Kumbe ni kawaida tu kwa wabongo?Waliokuwa wanaona Lissu kuuawa ni sawa tu, leo wanawafundisha wenzao kuwa na utu!!
Aisee!!
Mda mchache ni miaka mingapi?Watanzania tupunguze chuki kwa mh Rais, amebakiza muda mchache amalize muda wake.
unaweza utumia kulisha waombolezaji nyumbani kwako.SINAGA DINI MIMI.....
Nimeandaa mbuzi mmoja mtekeee mchele wa kutosha na vinyaji
Nasubiria kwa hamu kweli habari NJEMA kudadeki
In this World some people they have to learn in hard way
SINAGA DINI MIMI.....
Nimeandaa mbuzi mmoja mtekeee mchele wa kutosha na vinyaji
Nasubiria kwa hamu kweli habari NJEMA kudadeki
In this World some people they have to learn in hard way
Unamuombeaje mtu ambaye huna uhakika kuwa yu mgonjwa?kama ni kweli na Mungu amponye Watanzania wengi tunamuombea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Angalia usije kuwa umejiandalia mahitaji wa msiba wako ndugu, Nakukumbusha tu
I co-sign!
Ila nadhani hata yeye anachangia kwenye haya mambo ya ficha ficha.
HeheheeeSwala la ugonjwa wa mtu lisiwe jambo la kushadadia jamani, this is sad.