Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Je kama alipoteza fahamu?? Hawezi kupelekwa na wengine wasioamini ktk nyungu?? Unapiwaona kina Mpango wakiwa Hsp siyo kwa mapenzi yao bali ni pale nyungu na mambo mengine kama hayo kushindikana.
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bonge la nondo msitari wa chini huo. Sasa akili kama za kina ndugulile ndo usifurahi wakibonyezewa chekundu kwelii!!?

Astakafidhulah[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Usiwe na mawazo mgando. Wananchi wengi sana wanatani kumpatia kero zao rais. Je unadhani haziwezi kumfikia kupitia wana habari kama anafanya daily briefs?
Rais atapokea kero ngapi?

Kuna wenyeviti wa selikali za mitaa, diwani mbunge waziri wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa wote hao wanamsaidia rais kukusanya kero za wananchi, wewe unataka akusanye kupitia press za ikulu?.

Huu ujinga mmeutoa wapi siku hizi?
 
Kwa nchi za wazungu hilo linawezekana, lakini kwa nchi za kiafrika maendeleo ya afya ya rais hayatolewi kwa matangazo ya reja reja, yaani hadi kule nyambitilwa kila mtu ajue.
 
Ahaaa, kila kero za Wananchi zina level yake. Ngoja nikuache maana unajadili mada kinafiki, ila tambua kila kero ina level yake ili kutatuliwa. Ndio maana hata yeye hupenda kusikiliza kero za Wananchi.
 
Msigwa mwenyewe amepotea hajulikani alipo, sijui nae yupo hospitalini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani msigwa kila siku awe anaitisha press kisha Rais anasikiliza kero za watu?

Iko nchini gani hapa duniani hiyo?
 
Watanzania wa leo sio wa mwaka 1990 ambapo rais wao alikuwa anasikiliza kero zao kupitia wa wazee wa mji pale ukumbi wa Anatoglu. Leo hii kila mtanzania anaishi maisha ya kidigital zaidi ndio maana social media inatumika kupata habari kuliko print media.
😂Ila nayo hiyo awamu ilikuwa na vituko, ilikuwa inasafirisha wazee toka Bagamoyo halafu wanabandikwa jina wazee wa Dsm🤣

😂baada ya hotuba wanasombwa kurudi Bgmy
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom