Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Ni suala tu la kuendana na maisha ya kidigital, kuwapa habari wananchi kila siku sio mpaka kuapishana au kutumbuana tu.Kwanini bwashee?
Kila panapokuwepo na ulazima wa kuhabarisha umma juu ya jambo lolote kurugenzi ya mawasiliani ikulu imekuwa ikituhabarisha.
Jiulize wewe na pia jaribu kupunguza kuanza sentensi na neno ''So......''. Hii ni direct translation ya 'Kwa hiyo.......''So Lisu is immortal!
Ili kuwardhisha wahuni wachache wa kule twiter?
Yakitangulia ndio Li6su atakuwa Rais?Hakuna anayetaka kujua habari za majizi ya kura, zaidi ya kusikia yametangulia mbele ya haki.
Usiwe na mawazo mgando. Wananchi wengi sana wanatani kumpatia kero zao rais. Je unadhani haziwezi kumfikia kupitia wana habari kama anafanya daily briefs?Ili kuwardhisha wahuni wachache wa kule twiter?
Umejaa unafiki, tangu lini Lissu akawa mwenzenu?
Rais atapokea kero ngapi?Usiwe na mawazo mgando. Wananchi wengi sana wanatani kumpatia kero zao rais. Je unadhani haziwezi kumfikia kupitia wana habari kama anafanya daily briefs?
Si hutaki kuyaona?
😂Ila nayo hiyo awamu ilikuwa na vituko, ilikuwa inasafirisha wazee toka Bagamoyo halafu wanabandikwa jina wazee wa Dsm🤣Watanzania wa leo sio wa mwaka 1990 ambapo rais wao alikuwa anasikiliza kero zao kupitia wa wazee wa mji pale ukumbi wa Anatoglu. Leo hii kila mtanzania anaishi maisha ya kidigital zaidi ndio maana social media inatumika kupata habari kuliko print media.
Watu wana akil za kipuuzi kwani kuumwa ni kosa kwani yeye sio binadamu, ni upuuz tu tufanye kazi.
Binadamu ni watu wa ajabu kabisa, hasa sisi Watanzania.