Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Safari hii waliozusha ni wa Kenya CDM wanalicheza sebene tu kama ambavyo CCM walifanya kwa Lissu.
 
Tunawaacha mbwabwaje kwanza ili tuje tuwabinue kisawasawa!!
Hapana sio sawa, Rais ni kama baba katika familia
Baba anapozushiwa jambo halafu wenye mamlaka ya kukanusha wamekaa kimya, sababu ya kukaa kimya ni nini, mnavunja katiba, wananchi wana haki kikatiba kujua alipo na kujua usalama wake, sababu ya kukaa kimya ukisema kua mnaacha halafu ndio waiubuke, nadhani ni uhuni kufanya hivyo
 
We have a particular mission to accomplish you just wait a while. It could be this week, depends with the mission itself just wait bro.!
 
Naonaga kama huyu mzee mwanakijiji ana hekima za kutosha !!? Huyu ni rais wetu tumuheshimu na ndiyo uzalendo wenyewe huo.
 
Ni aibu kwa watu wazima kushabikia vitu vya kipumbavu.
Hata kama sijui kuna nini, sio busara hata kidogo kujiweka kwenye hatari ya kushiriki hujuma /njama ovu ya kuendelea kusambaza yasiyojulikana.
Binadamu tumeumbwa kwa utashi /utu wa kuthamini wengine, heshima na uungwana wa kujali na kuwatakia mema wengine.
 
Hili suala la sumu kuvu tuendelee kulijadili au tusubiri kwanza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom