Hii ni taarifa ya Lissu kwa BBC! Aibu aibu aibu! BBC wanashindwa ku balance story yaani! Viwanda vya uongo ni vile vile ...[emoji41]
Watu wengi sana maana yake nini? Mimi nazungumzia mitaani huko wewe bado upo kwenye mitandao.Wewe nae acha kujidanya, watu wengi sana wanatumia fecabook, habari wanazipata kama kawaida
Dunia nzima ipi? BBC source yao Lissu! Kipi chombo reliable ambacho kimesimamia habari hii kwa their own credible source? Mdogo wangu hii ni another Sabaya scam! [emoji851]
Hii ni taarifa ya Lissu kwa BBC! Aibu aibu aibu! BBC wanashindwa ku balance story yaani! Viwanda vya uongo ni vile vile ...[emoji41]
Baki hivyo hivyo, ningekuona wa maana kama ungesema kwa ushahidi jiwe alipo.Dunia nzima ipi? BBC source yao Lissu! Kipi chombo reliable ambacho kimesimamia habari hii kwa their own credible source? Mdogo wangu hii ni another Sabaya scam! [emoji851]
Based on Sabaya saga naamini hii ni another scam.Kwahiyo umemuona Magufuli akiwa mzima buheri wa afya?
Sasa hebu tumia akili ni mara ngapi anazushiwa mgonjwa au kafa? kwahiyo unataka iwe kazi ya kuzusha tu na serikali kujibu? serikali ina mambo mengi ya kufanya.Walikuonyesha kadi za hivyo vyama vya upinzani? Nyie kila anayehoji kitu mnasema ni mpinzani. kwani kuna shida gani kusema mzee ana mafua kidogo yupo na dozi ya kujifukiza. Kwani kuna shida?
Based on Sabaya saga naamini hii ni another scam!
Kwahiyo ukweli ni upi?Mkuu kuna somo hujalipata vinginevyo una maslahi binafsi. Hiki ni kiwanda cha uongo, Mark my word! Nyie mnatumika tu huku mitandaoni! Achana na siasa za hivi ubakie na akili zako [emoji848]
Unaingilia vita usiyoijua, tulia.mkuu .... CCM &CDM vinahusiana nini na covid-19
Akijitokeza mtatuambia nini? Kuhusu Sabaya mmetuambia nini? You are sick! Nimempinga JPM alivyoenda kinyume na TEC lakini kwenye mambo ya kushangilia matatizo ya wengine ni uzwazwa! Mbaya zaidi hakuna mwenye ushahidi.
Sijui, kwani bila hivi viwanda vya uongo tungefikia huku mkuu?Kwahiyo ukweli ni upi?
Tetesi zenu hazijakaa kitetesi, mnataka kuaminisha wananchi uzushi msio na ushahidi.
Reply ya 'no comment' hubeba maana kubwa sana. Hivi kuna shida gani mamlaka za nchi kuliweka wazi hili?..Ni kweli.
..tusubiri kama serikali itaendelea kukaa kimya.
..Nairobi hospital wao wamekataa kuthibitisha wala kukanusha walipoulizwa.