Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Haya maneno yako yanavutia na yanatia moyo.

Nitampa heshima juu ya uamzi huo, awe amepona au la.

Yale mengine aliyokwishaharibu, tutaangalia atakavyoendelea mbele.

Lakini hayawezi kufutika au kusahaulika kabisa, ila penye stahiki msamaha utatolewa.

Kazi kubwa anayoweza kuifanya bila kutumia nguvu nyingi kwa hali yake ni Kuliunganisha tena taifa letu. Tuondokane na mifarakano isiyokuwa na faida zozote.

Kufanya hivi ni kutenda haki, kwa kufuata sheria zilizopo kwa wote.
 
Wasaidizi waliangalia sehemu bora ya msaada na kwa Afrika Mashariki hakuna pengine zaidi ya Nairobi Hospital.
 
Lissu utokufa bali utaishi. Wanaishi milele wanatangulia wao, ukuu wa Mungu lazima utimie funzo kwa tulio hai.
 
Kuna jamaa yangu yuko Nairobi ananiambia Nairobi Hospital hakuingiliki kabisa. Haijulikani kuna nini ila ulinzi wa pale haijawahi tokea, wagonjwa wanashauriwa kwenda Hospitali zingine.
Rubbish
 
Source ya hizi habari ni zile zile financed by mabeberu! Hii itawavua nguo hasa Lissu! Aibu! Aibu!
Na hata ikiwa hivyo unavyodhani.

Hebu jiweke kwenye nafasi ya Magufuli.

Awe amekaa pembeni tu, mzima wa bukheri akisikiliza wananchi wa nchi yake wanavyomfikiria.

Sijui kama ungekuwa ni wewe ndiye yeye, ungejionaje?

Kwa hiyo, vyovyote na iwavyo, endapo Lissu ataona aibu, sijui Magufuli naye ataonaje?
 
Wasaidizi waliangalia sehemu bora ya msaada na kwa Afrika Mashariki hakuna pengine zaidi ya Nairobi Hospital.
Walitambua hili baada ya kuona huduma aliyopewa Lissu?

Sasa inafaa mgonjwa huyu hata akipona asiruhusiwe kuondoka hapo hadi ile 'bill' aliyodaiwa Lissu iwe settled!

Wao walikataa kutoa msaada wowote wakati ule; sasa inafaa wadaiwe kuilipa.

Hata kama wakikataa, lakini watakuwa wamekumbushwa ukosefu wa ubinaadam wao kwa wenzao.
 
I do respect your opinion, lakini tutambue kuwa we have something in common here, sisi wote ni watanzania na Tanzania tuna rais mmoja. We should not be paying attention to those who wish us harm.

Kumbuka kuwa there is no free lunch in the west, you have to pay for it. Kwa hiyo kaka yetu Tundu Lissu ambaye ndio kinara wa hili, huko aliko sio kama tu anakula lunch, bali pia anakula breakfast, dinner na pia ana malazi.

All are not free. Inawezekana anachofanya ndio kulipia hiyo lunch, am not gonna fall in his lane, so i will be in and on my lane, not his.
 
The radio silence is not cool at all.

Somebody in the know say something, please.

Mtakaa kimya mpaka lini? Kwani kama mtu anaumwa, huko kuumwa ni jambo la ajabu sana, au? Binadamu gani ambaye huwa haumwi?

Kama mtu amekufa, napo nini cha ajabu? Nani ambaye hatakufa?

Cut this ridiculous nonsense of radio silence. It’s gone on for too long now. And yes, even a single day is one too many!

What’s there to hide that is so bad?

Stop making our country live up to the label of a banana republic.

What will you lose if you tell us what is going on?

A bruised ego? An injured pride? A blown cover of a macho facade?

If he is sick, so be it. We all get sick.

If he is dead, oh well! It is what it is. It’s a guaranteed fate that will befall all of us.

Matter of fact, it [death] is the single greatest equalizer for humankind. It is no respecter of persons.

It’s like he has resolved that his ego is his hill to die on.

I remember I once said that his ego was not his amigo.

This is some weird shit. For days now we’ve been dealing with a maelstrom of confusion about his whereabouts.

And they think that is OK? WTF!!!!

Mr. President sir, listen to me. You are not a superman. You are a mere mortal just like the rest of us.

I don’t know what is going on with you. Maybe you are sick or maybe you are not.

Whatever the case may be, you owe us a word. Unless, you enjoy and are proud of leading a banana republic.

Wherever you are...whatever you are dealing with, my hope is you pull through.

After you pull through, a wee bit of introspection won’t hurt....

Now say something...
 


Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba amemjibu Mwanasheria mkuu wa CHADEMA ambaye kwa sasa ni Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Mh. Tundu Lissu na kumuonya vikali kwa kitendo cha kuulizia alipo Rais Magufuli na kama yupo salama kupitia mitandao ya kijamii. Dkt. Mwigulu amenukuu vifungu vya sheria vilivyovunjwa na Mh. Tundu Lissu na kusisitiza kuwa sheria inapovunjwa hakuna mipaka wala muda kupita. Aidha Dkt. Mwigulu amewaonya waropokaji wote kuzingatia sheria na kwamba serikali ipo kazini.

Dkt. Mwigulu alisema hayo kupitia mtandao wa instagram ambapo ameandika "Kiongozi wa Nchi sio Parishworker Kanisani wala sio Mzee wa Kanisa kwamba alipangiwa zamu na hakuonekana!, Kiongozi wa Nchi Sio Mtangazaji wa TV kwamba alikuwa na kipindi Ila hakuonekana! Kiongozi wa Nchi sio kiongozi wa jogging clubs kwamba anatakiwa kuwa tu mtaani kila siku na kurusha selfie. TUACHE UPUUZI UPUUZI HATA KAMA HATUNA JAMBO LA KUFANYA.

Umeichafua sana nchi umeshindwa, mmetamani tukwame mmeshindwa,Sasa mnaombea mabaya nchi yetu na Kiongozi wa Nchi yetu. SHERIA YEYOTE INAPOVUNJWA, HAKUNA CHA MIPAKA, WALA HAKUNA CHA MUDA KUPITA. KWA WANAOROPOKA ZINGATIENI KIFUNGU CHA 89 cha Penal code na 16 cha Cyber Crime, SERIKALI IPO KAZINI"

Hata hivyo Mh. Tundu Lissu ameonekana kukaidi onyo hilo na kuendelea kusambaza taarifa ambazo hazijathibitishwa na mamlaka husika kupitia mtandao wa Twitter.
 
Magufuli akifa sijui Kama tutapata rais Kama huyu.jasiri mwenye msimamo
Ila tatizo lake moja tu kuondoa watumish hewa halafu kushindwa kuweka vijana wasomi kwenye hizo nafasi..halafu msomi mzima unayemwamini MUNGU unaenda kwa babu wa loliondo kupata kikombe?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…