blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Sitilii Shaka vyanzo vyako.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Na cardiac attack tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na cardiac attack tena
Basi, kama ni hivyo, hata akipona atakuwa kama 'vegetable' hivi. Hataweza kurudia hali yake sawa sawa, au itamchukua muda mrefu kurudia hali ya kumwezesha kufanya kazi vizuri.
Hapo ndipo tutajua, mitano tena, au mpaka Israel apite, haitakuwepo tena.
Haya maneno yako yanavutia na yanatia moyo.JPM amekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka mitano sasa, lakini bado mpo wengi ambao mmeshindwa kumuelewa na pengine hamtakaa mmuelewe. Yule sio mtu wa kupelekwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu (tena matibabu yenyewe ya COVID-19). At least that will never happen on his watch!
Ninakubaliana nawe kwa kiasi kikubwa.Lissu anafahamuana na madaktari wa Nairobi Hospital na wanajua mkasa uliompata. Source za Lissu ni reliable.
RubbishKuna jamaa yangu yuko Nairobi ananiambia Nairobi Hospital hakuingiliki kabisa. Haijulikani kuna nini ila ulinzi wa pale haijawahi tokea, wagonjwa wanashauriwa kwenda Hospitali zingine.
Na hata ikiwa hivyo unavyodhani.Source ya hizi habari ni zile zile financed by mabeberu! Hii itawavua nguo hasa Lissu! Aibu! Aibu!
Lissu anafahamuana na madaktari wa Nairobi Hospital na wanajua mkasa uliompata. Source za Lissu ni reliable.
But I’m holding on something.You’re holding on to a bare bone!
Walitambua hili baada ya kuona huduma aliyopewa Lissu?Wasaidizi waliangalia sehemu bora ya msaada na kwa Afrika Mashariki hakuna pengine zaidi ya Nairobi Hospital.
Hii imebadilishwa sio ilokuwa awali. Changed in toneView attachment 1722459hakuna uzushi taarifa nu ya kweli na haijaondolewa