Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Hao wahalifu wa (Papa John Paul wa pili na Malala Yusuphzai) walisakwa na kukamatwa lakini waliomshambulia Lissu wanapiga misele tu

Muanzo walisema Dereva wa Lissu ni mtu muhimu, aliporudi nchini Lissu na Dereva wake wakaenda mpaka Polisi na kuwaambia Makachero kuwa wamefika uchunguzi uanze wakapotezea
 
Akili za magamba wengi ndio hizi anatoa povu kulalamaaa badae anasema naunga mkono hoja tumbaf

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Umejawa na chuki hadi hujui nani alisema nini na alisema wapi!

Wapi nilisema Corona haipo Tanzania?

Onyesha hata sentensi moja tu ya mimi kusema corona haipo Tanzania...


Nyani Ngabu

Platinum Member​

May 15, 200687,8522,000
C-19 imepaishwa sana. Si kali wala hatari kama tulivyoaminishwa.

Ingalikuwa kweli ni kali na hatari, basi ingejulikana tu.

Watu walio wagonjwa hawawezi kufichika.

Shule zimefunguliwa toka mwezi gani vile?

Kampeni za uchaguzi zilianza mwezi gani vile?

Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Thanks Quote Reply
Report
 
Mlolongo wa matukio mpaka Lissu anaenda ukimbizini ni wa kusikitisha sana. Binafsi naamini kuwa kuwa popote pale alipo anapigania usalama wake.

Hebu fikiria mtu prominent kama Lissu analengwa risasi 32, wanazuia ndugu kimpeleka wanapoamini kuwa atapata matibabu mazuri, ndugu wanalazimisha apelekwe Nairobi, wanakataa kulipia gharama za matibabu, anafukuzwa bungeni, anadhulumiwa haki zake zote za kibunge eti ni mtoro?

Jamani Magufuli na serekali yake walionesha kiwango cha juu kabisa cha roho mbaya ktk tukio hilo, hata kumwombea hadharani ikawa haramu! Kubwa zaidi wahusika wa tukio hilo hawajulikani/ wamefichwa?

Lissu hatumiki na yeyote, mwenye kutumika ni yule anayewalazimisha watu kikimbia kuokoa uhai wao ambaye ni Magu et- al.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…