Just learn, how to read between lines, to get what is intended, before jumping into a dubious conclusion. After all, imagination is more imporntant than knowledge.Matatizo ya kukariri bila kuelewa unachokariri mkuu:
"...they gave us education..." That was not education.; and unfortunately you have no clue what education is designed to do.
Ana Kiwango cha kueleweka?Umemuelewa lakini?
Acha tu, Bungeni inatakiwa wajae watu kama wakina Zitto,Tundu Lissu, Msigwa n.k. Uongozi unahitaji watu wenye vision na akili. Leaders are Readers, asa mtu kama Babu Tale amesoma kitabu gani?Ubunge nao siku hizi ni sawa tu na uvuta bangi wa wasanii kama huyu Tale. Hivi kweli unampeleka tale bungeni, akafanye nini? Hizi nchi zetu za dunia ya tatu zitaendelea kuwa maskini. Chombo kikubwa cha maamuzi na cha kutunga sheria wanakuwemo akina Tale. unategemea nini?
AMEENMshahara wa Dhambi ni Mauti, Rumi sura 9 kama sikosei.
Auae kwa upanga atakufa kwa upanga, Ufunuo 13
Hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Heri wenye rehema maana hao watapata rehema.
Dada nahisi hujalala kabisa leo, usiku wa saa nane na nusu nilikuacha kwenye huu uzi, nimeamka Nimeona post zako za tangu saa kumi na hadi sasa saa moja
Wenye dhamana wanaogopa kufanya ivo. Pengine wanaona labda wakiongea ukweli kuna watu wataonekana ma hero (watu wa Twitter) ambao kwa kiasi kikubwa ndo wanaamiwa kwa sababu ya kuikosoa sana serikali.Kwenye hili wenye dhamana wamepwaya kiukweli inasikitisha kwa wananchi kumuombea mabaya mtumishi wao namba moja ila wenye dhamana ilitakiwa wasiruhusu kwa kuweka hayana kwamba mh ni mgonjwa ama si mgonjwa kuumwa sio Jambo la siri
Lakini maandiko yanasema pia "Ukiambiwa sana maneno ya kukuonya nawe ukashupaza shingo, basi shingo hiyo huvunjika."
Atatokea tu weekend hiiAny update
Hahahahaaa kuumwa hakuna makombola aiseeAnaumwaje mkuu? Kwani lile li convoy jammer na mitutu ile imeshindwa kuzuia mashambulizi?
Tunategemea mhandisi wa building and finance.Ubunge nao siku hizi ni sawa tu na uvuta bangi wa wasanii kama huyu Tale. Hivi kweli unampeleka tale bungeni, akafanye nini? Hizi nchi zetu za dunia ya tatu zitaendelea kuwa maskini. Chombo kikubwa cha maamuzi na cha kutunga sheria wanakuwemo akina Tale. unategemea nini?
Mizinga 21 inaandaliwa sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Muulize, yamemkutaje?Lissu ndio mtoa taarifa wa serikali
Kumbe!Mimi uso wake unanihusu nini? Swala ni kwamba alienda huko German?